Tunauza nguo nzuri za wadada Mwanza

Tunauza nguo nzuri za wadada Mwanza

PSX_20241130_180025.jpg

18000
 
Mi Hela inanipa pressure vibaya sana
Relax Mzee mwenzangu utapata magonjwa ya moyo bure 🤣🤣🤣

Hata ukipaniki hela ndio itakufuata ?

Set mipango yako vizuri, halafu uamini kwamba kila jambo lenye heri ni mchakato. Na kwenye mchakato kuna maumivu, shida, njaa, dharau lakini uwe mvumilivu kila kitu kitajipa kwa wakati ulio sahihi.
 
Back
Top Bottom