Tunauza nguo nzuri za wadada Mwanza

Mi Hela inanipa pressure vibaya sana
Relax Mzee mwenzangu utapata magonjwa ya moyo bure 🀣🀣🀣

Hata ukipaniki hela ndio itakufuata ?

Set mipango yako vizuri, halafu uamini kwamba kila jambo lenye heri ni mchakato. Na kwenye mchakato kuna maumivu, shida, njaa, dharau lakini uwe mvumilivu kila kitu kitajipa kwa wakati ulio sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…