Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Google. Nimekuwekea link hapo.
Jamaa kasema kwa hiyo hela unapata nyumba mbili 'kubwa' Texas. Ndiyo maana nikamuambia Mji ambao anaweza akapata ila siyo miji yote.
 
Mji wowote unaotaka wewe US unapata nyumba nzuri kwa hio $850,000 sijui point yako au unachobisha ni nini wakati you can easily 'google' $800,000 house in US na ukapata majibu.
Sijabisha. Ila umetofautiana kidogo na mtoa comment niliyoiquote.
 
Jamaa kasema kwa hiyo hela unapata nyumba mbili 'kubwa' Texas. Ndiyo maana nikamuambia Mji ambao anaweza akapata ila siyo miji yote.
Okay, kwahio unatuambia Texas kuna mji huwezi kupata nyumba kwa $400,000? Mji gani huo?
 
Na hata hiyo nyumba ya mil 700 itakua sio ya kawaida ni ikulu ndogo.
Nyumba nyingi za ghorofa nzuri unazoona ni around 350m, Sasa fikiria hiyo ya mil 700
Hakuna ghorofa ya thamani ya 350m hiyo itakuwa cheap cheap quality
 
Okay, kwahio unatuambia Texas kuna mji huwezi kupata nyumba kwa $400,000? Mji gani huo?
Mji kama Dallas ni ngumu kupata nyumba kubwa kwa hela hiyo. I hope wakati unagoogle utakuwa unajua pia maana ya nyumba kubwa kwa standards za US.
 
RRONDO bana sasa unafikiri google watu hatuendi sasa kwanini tubishe wakati hizo Taarifa tuna uwezo wa kuzipata tu google! Anyway nimeziona hizo nyumba 'kubwa' za $400K!
Unataka kuleta ligi ya neno nyumba kubwa. Nyumba za Masaki bei iko juu Sana na ni fact ukienda US au SA unapata nyumba Bora zaidi kuanzia ukubwa hadi mandhari ya eneo husika.
 
Kweli hiyo nyumba hapo kinauzwa kiwanja maana ukisema ufanye renovation ni kubomoa nyumba yote na kuanza upya which ni ghali zaidi. Bafu la kizamani na tiles zake pyuuu
 
Umejibu kisomi sana[emoji4]
 
Nyumba zako mbona unauza Bei ghali Sana[emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…