Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Jamaa kasema kwa hiyo hela unapata nyumba mbili 'kubwa' Texas. Ndiyo maana nikamuambia Mji ambao anaweza akapata ila siyo miji yote.Google. Nimekuwekea link hapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa kasema kwa hiyo hela unapata nyumba mbili 'kubwa' Texas. Ndiyo maana nikamuambia Mji ambao anaweza akapata ila siyo miji yote.Google. Nimekuwekea link hapo.
Sijabisha. Ila umetofautiana kidogo na mtoa comment niliyoiquote.Mji wowote unaotaka wewe US unapata nyumba nzuri kwa hio $850,000 sijui point yako au unachobisha ni nini wakati you can easily 'google' $800,000 house in US na ukapata majibu.
Okay, kwahio unatuambia Texas kuna mji huwezi kupata nyumba kwa $400,000? Mji gani huo?Jamaa kasema kwa hiyo hela unapata nyumba mbili 'kubwa' Texas. Ndiyo maana nikamuambia Mji ambao anaweza akapata ila siyo miji yote.
Hakuna ghorofa ya thamani ya 350m hiyo itakuwa cheap cheap qualityNa hata hiyo nyumba ya mil 700 itakua sio ya kawaida ni ikulu ndogo.
Nyumba nyingi za ghorofa nzuri unazoona ni around 350m, Sasa fikiria hiyo ya mil 700
HoustonSijabisha. Ila umetofautiana kidogo na mtoa comment niliyoiquote.
Mji kama Dallas ni ngumu kupata nyumba kubwa kwa hela hiyo. I hope wakati unagoogle utakuwa unajua pia maana ya nyumba kubwa kwa standards za US.Okay, kwahio unatuambia Texas kuna mji huwezi kupata nyumba kwa $400,000? Mji gani huo?
DallasSijabisha. Ila umetofautiana kidogo na mtoa comment niliyoiquote.
Acha Stori wewe. Naangalia sana real estate programs za US. Wabongo mliopo Tz ndio mnaona $400,000 ndogoMji kama Dallas ni ngumu kupata nyumba kubwa kwa hela hiyo. I hope wakati unagoogle utakuwa unajua pia maana ya nyumba kubwa kwa standards za US.
Aisee!Hakuna ghorofa ya thamani ya 350m hiyo itakuwa cheap cheap quality
RRONDO bana sasa unafikiri google watu hatuendi sasa kwanini tubishe wakati hizo Taarifa tuna uwezo wa kuzipata tu google! Anyway nimeziona hizo nyumba 'kubwa' za $400K!
Teh teh sawa [emoji4][emoji4]Acha Stori wewe. Naangalia sana real estate programs za US. Wabongo mliopo Tz ndio mnaona $400,000 ndogo
Mbona haya kama magodauni mkuu
Ha ha ha sasa hii ya bil 1.7 iliojengwa 1989 vipi?Mbona haya kama magodauni mkuu
Bila hii mkuuHa ha ha sasa hii ya bil 1.7 iliojengwa 1989 vipi?
Unataka kuleta ligi ya neno nyumba kubwa. Nyumba za Masaki bei iko juu Sana na ni fact ukienda US au SA unapata nyumba Bora zaidi kuanzia ukubwa hadi mandhari ya eneo husika.RRONDO bana sasa unafikiri google watu hatuendi sasa kwanini tubishe wakati hizo Taarifa tuna uwezo wa kuzipata tu google! Anyway nimeziona hizo nyumba 'kubwa' za $400K!
Kwahio na wewe unataka kulinganisha nyumba za Masaki na US? Acheni vituko jamani.Bila hii mkuu
Umejibu kisomi sana[emoji4]Sawa ila hii bei ni kama tunauza kiwanja ununue uvunje ujenge unavyotaka.maisha tunatofautiana sana mwingine ananunua kiwanja goba cha 20m na anajenga gorofa, mwingine bunju 10m anajenga gorofa mwingine ananunua kaliakoo nyumba kwa 2bilion anavyunja anajenga gorofa ,mwingine Masaki ananunua kiwanja 1m$ na anajenga gorofa.
Hawa wote wanasema wana nyumba za ghorofa ila ukweli kila moja ina thamani yake kutokana na eneo husika