Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Kweli hiyo nyumba hapo kinauzwa kiwanja maana ukisema ufanye renovation ni kubomoa nyumba yote na kuanza upya which ni ghali zaidi. Bafu la kizamani na tiles zake pyuuu
Hahaaa mkuu we acha tu ndg yangu haya maisha hayako fair kabisa yaani Wenyewe wanunuzi wa maeneo haya wanasema hii bei ni sawa na bure eti! Ila maeneo mengine zipo za bei rahisi mkuu kwa mfano goba, bunju, mbezi beach nk
 
Kwahio na wewe unataka kulinganisha nyumba za Masaki na US? Acheni vituko jamani.
Ingekuwa bei kubwa mkuu watu wasingenunua.sisi tuishi tu pale tunaweza kulingana na vipato vyetu.Maneno ya Mungu yanasema tusinuie makuu kuliko uwezo wetu
 
Unataka kuleta ligi ya neno nyumba kubwa. Nyumba za Masaki bei iko juu Sana na ni fact ukienda US au SA unapata nyumba Bora zaidi kuanzia ukubwa hadi mandhari ya eneo husika.
Haha Sawa
 
Hapana mkuu udalali huo wa zamani sana.mimi hapo ukinunua napata commission tu tena ya kawaida sana na nimaelewano kati ya anayeuza na anayenunua.
Sema ukipata kweli mtu hapo kwa bei uliyoweka hukosi mil 50 kiongozi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Nyumba inauzwa Kunduchi Beach

Nyumba ni nzuri sana na ful ulinzi na usalama.
Vyumba 3 self

Bei 260m maongezi zaidi +255756060183

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…