dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
- Thread starter
- #2,001
Pamoja sana mkuu na asante sana.Umejibu kisomi sana[emoji4]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja sana mkuu na asante sana.Umejibu kisomi sana[emoji4]
Hahaaa mkuu we acha tu ndg yangu haya maisha hayako fair kabisa yaani Wenyewe wanunuzi wa maeneo haya wanasema hii bei ni sawa na bure eti! Ila maeneo mengine zipo za bei rahisi mkuu kwa mfano goba, bunju, mbezi beach nkKweli hiyo nyumba hapo kinauzwa kiwanja maana ukisema ufanye renovation ni kubomoa nyumba yote na kuanza upya which ni ghali zaidi. Bafu la kizamani na tiles zake pyuuu
Ingekuwa bei kubwa mkuu watu wasingenunua.sisi tuishi tu pale tunaweza kulingana na vipato vyetu.Maneno ya Mungu yanasema tusinuie makuu kuliko uwezo wetuKwahio na wewe unataka kulinganisha nyumba za Masaki na US? Acheni vituko jamani.
Mkuu ninazo za bei rahisi pia karibu tu niambie unahitaji nyumba ya bajeti gani na maeneo gani.ninazo nyumba za kuanzia 15m na kuendeleaNyumba zako mbona unauza Bei ghali Sana[emoji848]
Hapana mkuu udalali huo wa zamani sana.mimi hapo ukinunua napata commission tu tena ya kawaida sana na nimaelewano kati ya anayeuza na anayenunua.Hapo hamna hamna dalali kaweka milion 800 cha juu
[emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787]Mbona haya kama magodauni mkuu
Haha SawaUnataka kuleta ligi ya neno nyumba kubwa. Nyumba za Masaki bei iko juu Sana na ni fact ukienda US au SA unapata nyumba Bora zaidi kuanzia ukubwa hadi mandhari ya eneo husika.
Hio hela unanunua nyumba ngapi tandale?billion zako 1.7 unaamia zako masaki kibingwa kabisa
Kama sijakosea unaweza nunua nusu ya tandale yoteHio hela unanunua nyumba ngapi tandale?
Sema ukipata kweli mtu hapo kwa bei uliyoweka hukosi mil 50 kiongozi 😀😀😀😀Hapana mkuu udalali huo wa zamani sana.mimi hapo ukinunua napata commission tu tena ya kawaida sana na nimaelewano kati ya anayeuza na anayenunua.
Hio hela unanunua nyumba ngapi tandale?
Sema bei ya nyumba inategemeana na imejengwaje na eneo lake linafikikaje na ukubwa gani..haziwezi kuwa zote na bei mojaSijui thamani ya nyumba za tandale unaweza nipea?
Matajiri kama nyie ndio maneo yenu haya mkuu..mwingine anaona nyumba ila tajiri anaona kiwanjaHapo kiwanja,
Aiseeh yaaani maisha yanakuwa bambam kabisa mkuu..hahaa fanya mpango tuuze basi ikiwezekana tugawaneSema ukipata kweli mtu hapo kwa bei uliyoweka hukosi mil 50 kiongozi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
naona mods wamekukomentianilivyoona heading tu, wala sikufungua uzi
Nimelenga mlemle sio 😀😀😀Aiseeh yaaani maisha yanakuwa bambam kabisa mkuu..hahaa fanya mpango tuuze basi ikiwezekana tugawane