Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

PLOT FOR AT BOKO CHAMA/CCM.
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃

--- Eneo Linauzwa BOKO CCM upande wa juu.

--- Eneo Lipo Mkabala au Pembezoni Mwa barabara ya Lami ya Bagamoyo road/The plot is fronting the Main Bagamoyo road and Neighboring to Princes Bar.

---Kwenye Eneo Kuna Nyumba yenye vyumba 3 na kimoja ni Masterbedroom#Sitting room#Dining room#Kitchen#Sturd room#Store# Modern Sliding Windows.

---- Servant Quarter with 2 Bedrooms and 6 Operational Frames.

--- Eneo Lipo Sehemu nzuri Kwa Ujenzi wa Nyumba Za Kibiashara kama vile Apartments,Hotel,Hostels,Yard,Mini Petrol Station au Makazi.

--- Plot Size: 676 Sqm

--- Eneo Limepimwa na Kurasimishwa na Halmashauri ya Kinondoni na kupewa Control namba na Kwa sasa Lina Nyaraka za Serikali ya Mtaa/Process za kupata hati zilishakamilika.

--- Maji Yapo(Dawasa) na Umeme upo.
An Ideal plot for Commercial and Residential purposes.

Bei ni Tsh 199 Million (Negotiable).

Maongezi zaidi 0756060183

 
676sqm ujenge kituo cha mafuta kweli? 30m kwa 30m ni sqm 900 bado halitoshi kwa kituo cha mafuta
 
Eneo hilo linasumbuliwa sana na mafuriko na hiyo bei yako ni kipigo cha mike tyson
 
HOUSE FOR RENT AT BOKO MAGENGENI
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃

Location: boko Residence and Neighboring to Police Quarters.

The House is good for stai

Features :
NYUMBA INA....
--- 2 Bedrooms
--- 1 Master Bedroom.
--- Kitchen.
--- Dining room.
--- Fenced
--- 1 Sitting room.
--- 1 Public toilet.
--- Bathroom.
--- Big Aluminum Sliding Windows.
--- Maji yapo( Dawasa).
--- Umeme luku

--- Price:Tsh. 1,000,000/= kwamwezi (Negotiable)
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃

Call or WhatsApp for more details. 0756060183

 
Usimharibie biashara mwenzako bwana hapo ilipo hio nyumba ni kilima maji hayakaagi hapo labda ng'ambo ya lami kule
Asante sana mkuu, ni ukweli kabisa eneo liko juu na hakuna maji wala njia ya maji
 
Kichekesho. I mil kwa mwezi Mbweni Malindi, kwa kijumba kama hicho cha 3 bedrooms! Nakuhakikishia hutapata mpangaji hata kwa laki 6. Kwanza hilo eneo la wazi lenye majani kubwa mno na ni shida sana kulitunza haswa wakati wa masika majani na mimea ikianza kushamiri.
 
HOUSE FOR SALE AT GOBA MPAPAKANI
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃

Location: goba mpaka i Residence and good Nebohod.

The House is Fronting the main Tarmac road.Its just beside the main road.

Features :
NYUMBA INA....
--- 2 Bedrooms
--- 1 Master Bedroom.
--- Kitchen.
--- Dining room.
--- Fenced
--- 1 Sitting room.
--- 1 Public toilet.
--- Bathroom.
--- Big Aluminum Sliding Windows.
--- The Plot is Surveyed and has clean documentation.
--- Nyumba ipo kwenye eneo lililopimwa na Lina Nyaraka Hali(VALID TITLE DEED)
--- Maji yapo( Dawasa).
--- Umeme upo.

--- Plot Size:900 Sqm

--- Price:Tsh. 50 Million (Negotiable)
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃

Call or WhatsApp for more details. 0756060183


 
Kuna mteja tayari ameshaiona anakuja kuonana na mwenyewe alipie mkuu.

Halafu ngoja tupige story kidogo hii nyumba pamoja na kiwanja thamani yake c chini ya Tsh 350m je unathani kama ni kupangisha itamchukua miaka mingapi kurudisha hiyo hela? Na vipi unazijua kanunu japo moja tu za uwekezaji kwenye ardhi?
 
Mbona unauza bei rahisi hivyo? Hilo eneo liko very potential, bei yake ni kama billion moja ya haraka.

Nikutafutie mteja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…