Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Hii s ndio picha ya nyumba iliopostiwa inapangishwa milion 1 kwa mwezi boko...? Afu sa hv inauzwa goba how....?[emoji28][emoji28][emoji16][emoji28][emoji16][emoji28][emoji16]
Sina uhakika mkuu ila hii iko goba na inauzwa
 
Nyumba ipo mwanzoni kabisa Bahari beach na ni mtaaa wa pili kutoka Lami
Vyumba 4 na kati ya hivyo 2 ni self
Jiko nk vyote vipo safi

Size plot 900 sqm
Bei Tsh 150m
Maongezi zaidi 0756060183

IMG-20220403-WA0026.jpg
IMG-20220403-WA0025.jpg
IMG-20220403-WA0024.jpg
IMG-20220403-WA0023.jpg
IMG-20220403-WA0021.jpg
IMG-20220403-WA0019.jpg
IMG-20220403-WA0012.jpg
IMG-20220403-WA0008.jpg
 
Ngoja tumtafute bashe, mimi naona ni vizuri serikali ikanunua, liwe kama shirika ili lijiendeshe lenyewe hapo baadaye. Ajira kwa vijana hizo.
 
Sina uhakika mkuu ila hii iko goba na inauzwa
Unatangazaje Biashara ukiwa hauna uhakika??ndio maana mnashauriwa kutembelea site husika physically kujionea kwa macho,unapiga picha mwenyewe ndio unakuja kutangaza,sio umekaa Bar unatumiwa tu picha Whatsapp nawe unatangaza,ona sasa unaulizwa unajibu HUNA UHAKIKA,kama wewe mleta Tangazo huna uhakika unataka mnunuzi apate uhakika wapi??
 
Mtoa tangazo Nina wasiwasi na we kuwa mkweli Goba mpakani ipi ambayo Kuna maji ya dawasa?kuwa mkweli kutoka tegeta A,makabe,Goba mpakani mpaka msumi kote maji ya dawasa bado hayajaanza kutoka sema mradi unajengwa kuliko kumuaminisha mtu kuwa maji yapo halafu anafika anakuta maji Ni ya kuagiza kwa wenye magari wakuletee kutoka mbezi
 
Sawa mkuu maoni yako nimeyapokea na nitayafanyia kazi.asante
 
Mtoa tangazo Nina wasiwasi na we kuwa mkweli Goba mpakani ipi ambayo Kuna maji ya dawasa?kuwa mkweli kutoka tegeta A,makabe,Goba mpakani mpaka msumi kote maji ya dawasa bado hayajaanza kutoka sema mradi unajengwa kuliko kumuaminisha mtu kuwa maji yapo halafu anafika anakuta maji Ni ya kuagiza kwa wenye magari wakuletee kutoka mbezi
Maji yapo mkuu na kwa uhakika zaidi karibu ujionee mwenyewe
 
pamoja na vitu vyote vilivyopo ndani ya shamba bado bei yake ya kuuzia kwa heka moja ni Tsh 2m. Fafanua. Tractor ipo kwa hii bei ya per hectare?
Ndio mkuu hiyo bei inajumlisha shamba na thamani zote zilizopo ndani yake ikiwemo na magari yote
 
Back
Top Bottom