dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
- Thread starter
-
- #2,181
Yeah ni kweli ila kiwanja ni kidogo 900 sqmMbona unauza bei rahisi hivyo? Hilo eneo liko very potential, bei yake ni kama billion moja ya haraka.
Nikutafutie mteja?
Juzi tu, tumenunua kiwanja cha 400² kwa milioni 600 tena Kivule huko ndanindaniYeah ni kweli ila kiwanja ni kidogo 900 sqm
Aah wapi hii kamba mkuuJuzi tu, tumenunua kiwanja cha 400² kwa milioni 600 tena Kivule huko ndanindani
Anamaanisha weka bei!.Aah wapi hii kamba mkuu
Bei ipo mkuu soma tangazo lote hadi mwishoniAnamaanisha weka bei!.
Wewee bisha. Unafanyaje biashara ya real estate huna kizizi cha kumzuzua mteja awe zuzu?Aah wapi hii kamba mkuu
Nyumba za siku hizi hazina msimamo kabisa, zinahama hama sana. Unaweza kujenga nyumba yako Oyster Bay, ghafla unaikuta iko Vinginguti KiembembuziUnaweza kulia hapa jana ilipostiwa inapangishwa🤣
Unamjua tarimba abas au unamsikia mkuuPlease spare it for me. Jumamosi ntashinda jackpot ya Sportpesa, lazima nikucheki. 1 billion sio hela ya kununua chips kavu ujue
Nampa za chembe mapemaaaa
Karibu sana mkuu hata kama nitauza hii ila nyingine ninazoUlaya kugumu sana nataka kurudi tz muuzaji usiuze Nilikuwa nawaza pakufikia