Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

madalali ni wapuuzi sana ndio maana mwendazake alitaka mfe tu na njaa, hamna maana kabisa nyie , yani mtu anaweza hata kuposti nyumba yako kuwa unaiuza huku mwenyewe huna habari
 
Narudia tena,ni vizuri uwe unaenda kutembelea site kabla hujaleta matangazo yako JF,picha ya mwisho kwenye Tangazo lako hili la Nyumba inayouzwa GOBA MPAKANI pia picha hiyohiyo ipo kwenye Tangazo lako la Nyumba inayopangishwa BOKO hivyo umechanganya wewe mwenyewe,ndio maana unaulizwa unajibu HUNA UHAKIKA wakati wewe ndie uliyeleta Tangazo,just be serious
 
NYUMBA INAUZWA
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-MBWENI JKT

_____________
UKUBWA WA KIWANJA CHAKE-SQM 1500
____________________
NYARAKA ZA UMILIKI INA-HATI
____________
NYUMBA NZURI YA KISASA
_________________
YA FAMILIA KUBWA
______
YENYE:-
Vyumba vinne vikubwa vya kulala vyote ni #Master
#Dinning #Sebule kubwa yenye #Jiko zuri
#Choo/#Bafu vya ndani vya wanafamilia
#Gypsum #Tiles #Slides #Windows
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo kubwa
Nje #Pavingblocks
#Fencedhouse
______________

Pia ina boy cota
________________
NYUMBA BADO NI MPYA KABISA.
___________________

BEI INAUZWA TSHS 600M
MAONGEZI YAPO
__________________
NYUMBA HAINA MKOPO WALA MGOGORO WOWOTE

Maongezi zaidi 0756060183
 
Brigedia kafulia ama?
 
Picha ya pili tokea juu naona ma.a Kuna nyumba nyingine ndani ya hiyo fensi ama iyo ni Nini mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…