dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
- Thread starter
-
- #2,461
Hahaa karibu mkuu ujionee mji uko vzr inategemea mpiga picha hajakuonyesha majiraniMbona sion huko kujengeka unakosema zaid ya mapori
Ndg 200,000,000? Kweli?KIWANJA KINAUZWA MBWENI BLOCK 8 JKT
Kiwanja ni kona plot na kimeangalia lami inayozunguka BLOCK 8 maalufu kwa mbweni kwa Mama.
Size plot 1100 SQM
Bei Tsh 200m
Maongezi zaidi 0756060183
View attachment 2295473View attachment 2295475
yani bei ya kiwanja natoa nyumba mbili plus viwanjaKIWANJA KINAUZWA MBWENI BLOCK 8 JKT
Kiwanja ni kona plot na kimeangalia lami inayozunguka BLOCK 8 maalufu kwa mbweni kwa Mama.
Size plot 1100 SQM
Bei Tsh 200m
Maongezi zaidi 0756060183
View attachment 2295473View attachment 2295475
Hahaa kweli mkuu na hizo ndio bei zake zenyeweNdg 200,000,000? Kweli?
Hahaa mkuu sio nyumba mbili tu maeneo mengine unapata nyumba karibia 20 kama sio kununua kijiji kizima kabisa. Maisha tunatofautiana sana mkuu mengine tuwaachie wenyeweyani bei ya kiwanja natoa nyumba mbili plus viwanja
Kwann unasema hivyo mkuuBiashara ya kuuza nyumba tz ni ngumu sana
Pamoja sana mkuuAhsante kwa taarifa...
Maombi yanahitajika kufanikisha hiliNilicho jifunza kuhusu maswala ya Properties Tz PURCHASING POWER ya TANZANIA ipo chini sn ni asilimia ndogo sn wanakuwa Categories kama middle-class people na hawa ndio FUEL ya Uchumi wa NCHI.
800m2, bahari beach kwa 150m
Sina hiyo hela ilambona inauzw chini hivi ,shida nini? Huko maenei bei ghali sana