Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

KIWANJA KINAUZWA BUNJU

Kiwanja kipo Bunju iliyopimwa na imejengeka kwa mpangilio
Size plot SQM 700
Bei Tsh 25m
Kiwanja kina hati kimepimwa
Maongezi zaidi 0756060183
 
Apartments zinauzwa zipo Chuo kikuu changanyikeni. Yapo maghorofa 3 na kila moja lina Apartment 2, jumla ya Apartments ziko 6 na kila moja inapangishwa 600,000/= kwa mwezi. Bei ya kuuzia ni Tsh 850m Maongezi
0756060183

IMG-20220717-WA0042.jpg
IMG-20220717-WA0043.jpg
IMG-20220717-WA0044.jpg
IMG-20220717-WA0045.jpg
 
KIWANJA KINAUZWA MBWENI BLOCK 8 JKT

Kiwanja ni kona plot na kimeangalia lami inayozunguka BLOCK 8 maalufu kwa mbweni kwa Mama.
Size plot 1100 SQM

Bei Tsh 200m
Maongezi zaidi 0756060183

20220718_121553.jpg
20220718_121551.jpg
 

Attachments

  • 20220718_121553.jpg
    20220718_121553.jpg
    83.2 KB · Views: 15
Nilicho jifunza kuhusu maswala ya Properties Tz PURCHASING POWER ya TANZANIA ipo chini sn ni asilimia ndogo sn wanakuwa Categories kama middle-class people na hawa ndio FUEL ya Uchumi wa NCHI.
 
Nilicho jifunza kuhusu maswala ya Properties Tz PURCHASING POWER ya TANZANIA ipo chini sn ni asilimia ndogo sn wanakuwa Categories kama middle-class people na hawa ndio FUEL ya Uchumi wa NCHI.
Maombi yanahitajika kufanikisha hili
 
NYUMBA INAUZWA BAHARI BEACH MWANZONI.

Nyumba ina vyumba 3 self..stingroom, Dainingroom,kitchen nk
Size plot 800 SQM
Hati ipo
Bei Tsh 150m
Maongezi zaidi 0756060183

IMG-20220721-WA0011.jpg
IMG-20220721-WA0013.jpg
IMG-20220721-WA0007.jpg
IMG-20220721-WA0009.jpg
IMG-20220721-WA0005.jpg
IMG-20220721-WA0010.jpg
IMG-20220721-WA0004.jpg
 
800m2, bahari beach kwa 150m
Sina hiyo hela ilambona inauzw chini hivi ,shida nini? Huko maenei bei ghali sana
 
Back
Top Bottom