mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Baba levo hizi ndiyo zilipashwa ziwe kazi zake za kumuondoa Daimond kwenye nyumba ya Kupanga na kumuweka humu sijui hawa wasanii akilii zao zipo wapi..
Kweli kabisa, sidhani kama hiyo nyumba kuijenga inazidi mil 500Bil 1.3?? Bei ya ghorofa California - US.
Hilo halipaswi kuwa zaidi ya mil 500
Duh@ Mpaka muwekewe na BOQ!Kweli kabisa, sidhani kama hiyo nyumba kuijenga inazidi mil 500
Kwanza jumba la kifahari kama hilo ningedhani lina BOQ ya ujenzi, aweke hapa tuone ujenzi ume cost kiasi gani.
Asituzuge na "American architecture.' Ingekuwa much cheaper then, kwa saab wao hawajengi na tofali wala minondo na mizege ya jamvi na slab.
Jenga yako ya mil 500 afu iweke sokoni na hio BOQ ya ujenzi bossKweli kabisa, sidhani kama hiyo nyumba kuijenga inazidi mil 500
Kwanza jumba la kifahari kama hilo ningedhani lina BOQ ya ujenzi, aweke hapa tuone ujenzi ume cost kiasi gani.
Asituzuge na "American architecture.' Ingekuwa much cheaper then, kwa saab wao hawajengi na tofali wala minondo na mizege ya jamvi na slab.
Kifo kipo tu, usiogopeNingenunua ila tatizo makafara yaliyofanywa umo sio mchezo[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Zinaitwa gharama za uendeshajiMatunzo ya hii nyumba miezi mitatu tayari nimesha nunua ist kali kabisa
Majumba makubwa hayana maana kabisa...kujilisha upepo tuu mwanawane.Zinaitwa gharama za uendeshaji
- bustani
- usafi
- umeme
- maji
- ulinzi
Finishing yake ndio imeongeza gharama kwenye hilo jengo; kama mfuko unaruhusu, unazama ndani na curvy girlsMajumba makubwa hayana maana kabisa...kujilisha upepo tuu mwanawane.
Raha ya dunia ni kupata mwanamke anayekuoenda.
Na nyumba kinachopandisha bei ni finishing. Maana kuna vyoo vya laki nne na vipo vya mil 8, chaguzi ni yako.Finishing yake ndio imeongeza gharama kwenye hilo jengo; kama mfuko unaruhusu, unazama ndani na curvy girls
Hao wanaoacha makufuli zao, inabidi uzichome motoNa nyumba kinachopandisha bei ni finishing. Maana kuna vyoo vya laki nne na vipo vya mil 8, chaguzi ni yako.
Ah wee bwana billion 1.3 mbona kitaa unajenga nyumba nzuri ya million 100. Ukiwaimgiza warembo nakwambia utashangaa wanaanza acha chupi zao.🤣🤣🤣
Ah kumbe wee hujui raha ya kunusa vifuniko vya asali🤣🤣🤣🤣Hao wanaoacha makufuli zao, inabidi uzichome moto
🤣🤣🤣🤣 Wee jamaaa bwanaJenga yako ya mil 500 afu iweke sokoni na hio BOQ ya ujenzi boss
Nunua hilo jengo ili usipate muda wa kunusa vifuniko vya asali; kumbuka hilo jengo halina panya, sisimizi,kunguni, mchwa, wala mende; kwa hiyo hizo gharama lazima uzifikirieAh kumbe wee hujui raha ya kunusa vifuniko vya asali🤣🤣🤣🤣
Ni kama vile umebuya unga ile high yake
Hapo sio chini ya million mbili kila mwezi. Garder, wafnyakazi wa usafi watatu. Billi ya umeme million maji laki tatuJumba Kama Hili haha maintenance siyo pesa jidogo.
Nina kiwanja changu cha urithi mpaka leo naishia kupalilia majani tuu. Niweke hela zote hapo wakati dunia tunapita tuu mwanawane. Siwezi jilisha upepo mie.Nunua hilo jengo ili usipate muda wa kunusa vifuniko vya asali
Maisha ni haya haya; wengine wanalipiwa na ofisi; sasa wewe mjasiriamali mdogo jichanganyeHapo sio chini ya million mbili kila mwezi. Garder, wafnyakazi wa usafi watatu. Billi ya umeme million maji laki tatu
Maisha ni fumbo mkuu; kuna jamaa yangu alikuwa boss shirika fulani, hanywi pombe wala alambi asali, anajitunza na kubana matumizi; baada ya muda akashushwa cheo, kutokana na msongo wa mawazo n.k amefariki mdogo, huku starehe za dunia alikuwa anazikataaNina kiwanja changu cha urithi mpaka leo naishia kupalilia majani tuu. Niweke hela zote hapo wakati dunia tunapita tuu mwanawane. Siwezi jilisha upepo mie.