Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Bil 1.3?? Bei ya ghorofa California - US.
Hilo halipaswi kuwa zaidi ya mil 500
Kweli kabisa, sidhani kama hiyo nyumba kuijenga inazidi mil 500

Kwanza jumba la kifahari kama hilo ningedhani lina BOQ ya ujenzi, aweke hapa tuone ujenzi ume cost kiasi gani.

Asituzuge na "American architecture.' Ingekuwa much cheaper then, kwa saab wao hawajengi na tofali wala minondo na mizege ya jamvi na slab.
 
Duh@ Mpaka muwekewe na BOQ!
Kama thamani ya ujenzi ni milioni 500, ongeza thamani ya kiwanja size hiyo kwa eneo kama Mbweni na faida ya muuzaji. Possibly ina thamani hiyo
 
Kweli kabisa, sidhani kama hiyo nyumba kuijenga inazidi mil 500

Kwanza jumba la kifahari kama hilo ningedhani lina BOQ ya ujenzi, aweke hapa tuone ujenzi ume cost kiasi gani.

Asituzuge na "American architecture.' Ingekuwa much cheaper then, kwa saab wao hawajengi na tofali wala minondo na mizege ya jamvi na slab.
Jenga yako ya mil 500 afu iweke sokoni na hio BOQ ya ujenzi boss
 
Finishing yake ndio imeongeza gharama kwenye hilo jengo; kama mfuko unaruhusu, unazama ndani na curvy girls
Na nyumba kinachopandisha bei ni finishing. Maana kuna vyoo vya laki nne na vipo vya mil 8, chaguzi ni yako.

Ah wee bwana billion 1.3 mbona kitaa unajenga nyumba nzuri ya million 100. Ukiwaimgiza warembo nakwambia utashangaa wanaanza acha chupi zao.🤣🤣🤣
 
Hao wanaoacha makufuli zao, inabidi uzichome moto
 
Ah kumbe wee hujui raha ya kunusa vifuniko vya asali🤣🤣🤣🤣
Ni kama vile umebuya unga ile high yake
Nunua hilo jengo ili usipate muda wa kunusa vifuniko vya asali; kumbuka hilo jengo halina panya, sisimizi,kunguni, mchwa, wala mende; kwa hiyo hizo gharama lazima uzifikirie
 
Nina kiwanja changu cha urithi mpaka leo naishia kupalilia majani tuu. Niweke hela zote hapo wakati dunia tunapita tuu mwanawane. Siwezi jilisha upepo mie.
Maisha ni fumbo mkuu; kuna jamaa yangu alikuwa boss shirika fulani, hanywi pombe wala alambi asali, anajitunza na kubana matumizi; baada ya muda akashushwa cheo, kutokana na msongo wa mawazo n.k amefariki mdogo, huku starehe za dunia alikuwa anazikataa
 
Back
Top Bottom