dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
- Thread starter
-
- #341
Hahaaa mkuu usijali kikubwa telemann haya mengi tuwaachie wajuziNi negotiable sio negotiated au mimi ndo sijui.........kama ingekuwa negotiated maana yake kishauzwa...
Umeona eeh mkuu tuokoane mjini hapa maana hatuna namna nyingine zaidi ya kuinuana
Kikubwa kuelewana mkuu, lugha nyingine za wenzetu sie tunafanya kujifunza na elimu zetu hizi za kuunga ungaNIlitaka nishangae, tenses na grammar zinawachanganya wengi hadi wasomi wa vyuo vikuu
Hakijapimwa ila process za awali zimefanyika.hapana hamna mkondo wa maji hapo jirani alikuwa anachimba mchanga.kimepimwa?huduma muhimu zipo?
na mbona kama hicho kiwanja kiko kwenye mkondo wa maji?
Hakijapimwa ila process za awali zimefanyika.hapana hamna mkondo wa maji hapo jirani alikuwa anachimba mchanga.
Umeme maji barabara vyote vipo..karibu sana mkuu uje uone
Aiseeh kwakweli sina uhakika kivile ila kwa makadirio inaweza kuwa km 4Km ngapi kutoka junction ya lami? Bagamoyo road??
Asante sana mkuu na karibu sanaJumba Zuri sana
Hahaa umetisha mkuuNyumba kali sana mkuu
Ila kwa level zangu za mshiko bado
Mtafte mond bin laden wa dabiliyusibii inaweza mfaa
Asante sana ndg yangu acha tupambanieNyumba nzuri sana na kwa hio pesa ni fair kabisa mkuu
Nyumba nzuri sana na kwa hio pesa ni fair kabisa mkuu
Mahitaji tu si unajua unaweza kuuza hii ukaenda nunua sehemu nyingine maisha yakaendelea tu mkuu..ndio maisha yalivyo mwinge anataka kununua nyumba na mwingine anataka kuuzaKuna jamaa mmoja aliwahi kunializa swali la kiufahamu. "Hivi mtu anauza nyumba anataka kununua nini"?