Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

NIlitaka nishangae, tenses na grammar zinawachanganya wengi hadi wasomi wa vyuo vikuu
Kikubwa kuelewana mkuu, lugha nyingine za wenzetu sie tunafanya kujifunza na elimu zetu hizi za kuunga unga
 
PLOT FOR SALE IN GOBA - Tegeta A
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃
Location: Karibu na Shule ya Kings secondary - Matosa
Kiwanja kina ukubwa wa 3,356 sqm na kutoka barabara ya lami ni 200 mita ya kwenda Goba - Mbezi.
Kiwanja kimepimwa na kurasimishwa, umeme upo..
Documents: Sales agreement.
Asking price: Tsh. 70 Million

Maongezi zaidi 0756060183

IMG-20200807-WA0088.jpg
IMG-20200807-WA0086.jpg
IMG-20200807-WA0083.jpg
IMG-20200807-WA0085.jpg
 
Kiwanja kina ukubwa wa mita 30 kwa mita 20
Kiwanja kipo salasala Kinzudi majengo

Bei 9.5m
Maongezi zaidi 0756060183
20200817_160246.jpg
20200817_160253.jpg
20200817_160259.jpg
 
kimepimwa?huduma muhimu zipo?
na mbona kama hicho kiwanja kiko kwenye mkondo wa maji?
 
kimepimwa?huduma muhimu zipo?
na mbona kama hicho kiwanja kiko kwenye mkondo wa maji?
Hakijapimwa ila process za awali zimefanyika.hapana hamna mkondo wa maji hapo jirani alikuwa anachimba mchanga.
Umeme maji barabara vyote vipo..karibu sana mkuu uje uone
 
Hakijapimwa ila process za awali zimefanyika.hapana hamna mkondo wa maji hapo jirani alikuwa anachimba mchanga.
Umeme maji barabara vyote vipo..karibu sana mkuu uje uone

Km ngapi kutoka junction ya lami? Bagamoyo road??
 
Km ngapi kutoka junction ya lami? Bagamoyo road??
Aiseeh kwakweli sina uhakika kivile ila kwa makadirio inaweza kuwa km 4
Na daladala zipo zinazoenda maeneo hayo nauli yake 500 na kwa boda boda nauli yake 1500
Kwa viwango hivi vya nauli unaweza kupata uhalisia wa umbali kwa madirio
 
Nyumba kali sana mkuu
Ila kwa level zangu za mshiko bado

Mtafte mond bin laden wa dabiliyusibii inaweza mfaa
 
Nyumba nzuri sana na kwa hio pesa ni fair kabisa mkuu
 
Nyumba inauzwa Goba Center...,
Ukubwa Wa Eneo: SQ 1500...,,
Umbali Kutoka Lami: Meter 150..,,
Nyumba Ina Vyumba Vinne Vitatu Ni Master,Dinning,Sitting,Kitchen &Public Toilet...,,
Bei Makadilio: Million 250 (Maongezi Yapo)...,,
Umiliki: Hati (Title Deed)...,,
Nyumba Kali Njoo Chap...

Maongezi zaidi 0756060183
IMG-20200823-WA0024.jpg
IMG-20200823-WA0019.jpg
IMG-20200823-WA0020.jpg
IMG-20200823-WA0018.jpg
IMG-20200823-WA0023.jpg
 
Kuna jamaa mmoja aliwahi kunializa swali la kiufahamu. "Hivi mtu anauza nyumba anataka kununua nini"?
Mahitaji tu si unajua unaweza kuuza hii ukaenda nunua sehemu nyingine maisha yakaendelea tu mkuu..ndio maisha yalivyo mwinge anataka kununua nyumba na mwingine anataka kuuza
 
Back
Top Bottom