Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Tukuambie tu ukweli. Ni ghali mnoo. Tuna nyumba kama hiyo sinza na hatujawahi fikiria hiyo bei?
Kuna nyumba iko Sinza karibu na Fahari hotel imeuzwa 167M. Kutembea ni mitaa miwili mbele tu unatokea 5N&R Pub unaitazama Mlimani City ile!

Hio nyumba ya maswekeni huko Goba ndio uuze kwa bei ambayo ni kiinua mgongo cha mbunge miaka 5?
 
Kwa unaejua mambo;
Hapo SINZA kimeuzwa na kununuliwa Kiwanja,

Na kule Goba INAUZWA NYUMBA.

Nipo kwenye hii 'game' kitambo.
Naijua Sinza na NAIFAHAMU HII NYUMBA YA GOBA.

Msimharibie Biashara mwenzenu jamani.
 
Asante sana mkuu kwa hili darasa.Barikiwa
 
Dalali anataka nae apate hela ya kununua nyumba yake kupitia hio deal![emoji1787][emoji1787][emoji1787] Msimlaumu
Dah mkuu ingekuwa hivyo mbona ningetamba sana! Ila changu hapo ni commission ndogo tu ndg yangu na kama vipi lete mteja tushirikiane kuuzq tugawane ugali wa watoto
 
Kuna nyumba iko Sinza karibu na Fahari hotel imeuzwa 167M. Kutembea ni mitaa miwili mbele tu unatokea 5N&R Pub unaitazama Mlimani City ile!

Hio nyumba ya maswekeni huko Goba ndio uuze kwa bei ambayo ni kiinua mgongo cha mbunge miaka 5?
Ni kweli mkuu ila inabidi ulifahamu hili, thamani ya nyumba inategemeana na eneo ilipo kwa sasa Sinza ni uswahilini huwezi kulinganisha na Goba.na pia ukubwa wa hicho kiwanja ni viwanja 5 vya sinza kama si mtaa mzima.sasa linganishq bei ya kiwanja na aina ya nyumba iliyopo...ila yote kwa yote muhitaji ndio anachagua wapi aishi
 
Sinza ni uswahilini? Uswahilini kunauzwa nyumba ya 170M???
 
Duh, wenzetu wenye akili wanakaa sehemu zenye miinuko ila za fukwe ndiko wanakaa masikini ila huku shithole eti sehemu za fukwe ndio prime areas. Wonders shall never end!!!
Ukija mbezi tangibovu 170m ni bei ya kiwanja cha 1000 SQM bila nyumba.maisha na kipato chako tu mkuu ndio vinaamua uishi wapi
 
Hawa watu wanaopiga domo ya kupinga bei utakuta hata milioni 5 hawana [emoji23][emoji23]dah, bongo nyoso
 
Naona umeamua kumtetea dalali mwenzio hongera sana

Iwapo niliyoyaongea yote hayana mantiki,
Upo sahihi.
Ila.,
Ukituliza Akili yako ukayatafakari na ukaona kuna-points,
Then,
Utagundua kuwa mekurupuka kuhukumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…