Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
[emoji16][emoji16]Hahaha Hahaha. Hakika bei imechangamka sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16]Hahaha Hahaha. Hakika bei imechangamka sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha dharauYah ni self contained, yani unakuta furniture, mke na beki tatu ndani we ni kuanza tu maisha
Kuna nyumba iko Sinza karibu na Fahari hotel imeuzwa 167M. Kutembea ni mitaa miwili mbele tu unatokea 5N&R Pub unaitazama Mlimani City ile!Tukuambie tu ukweli. Ni ghali mnoo. Tuna nyumba kama hiyo sinza na hatujawahi fikiria hiyo bei?
Dalali anataka nae apate hela ya kununua nyumba yake kupitia hio deal!🤣🤣🤣 Msimlaumu250 milioni? Au nimesoma kwa makengeza?Hiyo bei mtu akisimamia show kujenga nyumba si atapata kitu kikali zadi ya hiyo mara 3 au zaidi?
Punguza bei iwe 80 au 90 unaweza pata mteja.
Kuna nyumba iko Sinza karibu na Fahari hotel imeuzwa 167M. Kutembea ni mitaa miwili mbele tu unatokea 5N&R Pub unaitazama Mlimani City ile!
Hio nyumba ya maswekeni huko Goba ndio uuze kwa bei ambayo ni kiinua mgongo cha mbunge miaka 5?
Asante sana mkuu kwa hili darasa.BarikiwaSinza kuna Nyumba au Vifusi/Viwanja mzee?
Usichokijua usikizungumzie saaana kana kwana unakijua vyema.
Relax kisha nisikilize;
Huko Sinza kwako,
Kiwanja ukubwa ni Kati ya sqm.288 imeenda sana 370-vingi,
Majumba mengi mnayouza yamejengwa chini ya mwaka 1990.
Hii Nyumba inayouzwa Goba kiwanja ukubwa ni sqm.1500.,
Na Imemaliziwa Ujenzi mwaka huu 2020.
Nyumba ina Hati Miliki,
Ujenzi wa kisasa (Naijua hata Mimi)
Lami unaiona hatua chache.
Ndio, sikatai Tshs.250M si Hela ndogo,
Ila, Sifa na aina ya Nyumba hii si vya kubeza navyo.
Kikubwa kingine,
Tupo kwenye Dunia huru na hii ni Biashara Huria na hujaambiwa Bei haizungumziki.
Acha Kila mtu Aishi apendavyo ailimurad havunji Sheria.
Sijui naeleweka?
Hahaaa hapana mkuu Mtu hauzwi hapo tumezungumzia nyumba pekeeMkuu hiyo Bei inajumlisha Hilo Gari na mtu alieko ndani ya Hilo Gari ?
Pamoja Sana mkuu.Hahaaa hapana mkuu Mtu hauzwi hapo tumezungumzia nyumba pekee
Dah mkuu ingekuwa hivyo mbona ningetamba sana! Ila changu hapo ni commission ndogo tu ndg yangu na kama vipi lete mteja tushirikiane kuuzq tugawane ugali wa watotoDalali anataka nae apate hela ya kununua nyumba yake kupitia hio deal![emoji1787][emoji1787][emoji1787] Msimlaumu
Ni kweli mkuu ila inabidi ulifahamu hili, thamani ya nyumba inategemeana na eneo ilipo kwa sasa Sinza ni uswahilini huwezi kulinganisha na Goba.na pia ukubwa wa hicho kiwanja ni viwanja 5 vya sinza kama si mtaa mzima.sasa linganishq bei ya kiwanja na aina ya nyumba iliyopo...ila yote kwa yote muhitaji ndio anachagua wapi aishiKuna nyumba iko Sinza karibu na Fahari hotel imeuzwa 167M. Kutembea ni mitaa miwili mbele tu unatokea 5N&R Pub unaitazama Mlimani City ile!
Hio nyumba ya maswekeni huko Goba ndio uuze kwa bei ambayo ni kiinua mgongo cha mbunge miaka 5?
Sinza ni uswahilini? Uswahilini kunauzwa nyumba ya 170M???Ni kweli mkuu ila inabidi ulifahamu hili, thamani ya nyumba inategemeana na eneo ilipo kwa sasa Sinza ni uswahilini huwezi kulinganisha na Goba.na pia ukubwa wa hicho kiwanja ni viwanja 5 vya sinza kama si mtaa mzima.sasa linganishq bei ya kiwanja na aina ya nyumba iliyopo...ila yote kwa yote muhitaji ndio anachagua wapi aishi
Ukija mbezi tangibovu 170m ni bei ya kiwanja cha 1000 SQM bila nyumba.maisha na kipato chako tu mkuu ndio vinaamua uishi wapiSinza ni uswahilini? Uswahilini kunauzwa nyumba ya 170M???
Ukija mbezi tangibovu 170m ni bei ya kiwanja cha 1000 SQM bila nyumba.maisha na kipato chako tu mkuu ndio vinaamua uishi wapi
Je kama anazo nyumba zaidi yamoja unatakaje ??Kuna jamaa mmoja aliwahi kunializa swali la kiufahamu. "Hivi mtu anauza nyumba anataka kununua nini"?
Bado hilo si jibu, alijengaje kama alijua anazo za kutosha?Je kama anazo nyumba zaidi yamoja unatakaje ??
Kama real estate sawa . Ila mwananchi akisema anauza nyumba inabidi ujiulize kwanini anauza?No hizo ni biashara za watu bro (Real Estates business), wanajenga wanauza. Biashara nzuri sana
Naona umeamua kumtetea dalali mwenzio hongera sana