Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Dah nimefadhaika sana nilipoona mjengo huu hali ya kuwa hata mlo wa kesho sijui naupataje
 
Aah hii mi siwezi kununua ina "ngazi ndefu sana" na hizo nyasi zinaleta wale nyoka wa kijani
 
Mie nauza eneo langu lina mnara wa mawasiliano
 
Ipo Boko msikit upande wajuu Ina vyumba vitatu Master bedroom Moja sebule jiko choo uwanja una 400 SQM pamepimwa hati bado kutoka panauzwa Bei ya kutupwa ya milion 35
Nyumba ipo mita chache tu kutoka Barabara ya Bagamoyo.

Maongezi zaidi au kuja kuona tafadhali wasiliana nami 0756060183

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…