Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Dah nimefadhaika sana nilipoona mjengo huu hali ya kuwa hata mlo wa kesho sijui naupataje
 
Aah hii mi siwezi kununua ina "ngazi ndefu sana" na hizo nyasi zinaleta wale nyoka wa kijani
 
Kiwanja kipo Kigamboni Dege beach
Kipo km 1.5 kutoka kwenye mradi wa magorofa ya Dege

Size 625 SQM

Bei yake 12.5m

Maongezi zaidi 0756060183
20200827_150923.jpg
20200827_150938.jpg
 
Ipo Boko msikit upande wajuu Ina vyumba vitatu Master bedroom Moja sebule jiko choo uwanja una 400 SQM pamepimwa hati bado kutoka panauzwa Bei ya kutupwa ya milion 35
Nyumba ipo mita chache tu kutoka Barabara ya Bagamoyo.

Maongezi zaidi au kuja kuona tafadhali wasiliana nami 0756060183

IMG-20200918-WA0039.jpg
IMG-20200918-WA0044.jpg
IMG-20200918-WA0045.jpg
 
Back
Top Bottom