Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Huko boko kunajulikana kwa kujaa maji....Ungetudokeza kidogo ishu ya kujaa maji kipindi cha masika ingekua poa...
 
Huko boko kunajulikana kwa kujaa maji....Ungetudokeza kidogo ishu ya kujaa maji kipindi cha masika ingekua poa...
Kwa bei yake ni ngumu kuuza kwa ukanda ule labda wampate mtu mgeni ambaye hajui historia ya maeneo hayo.
Ikifika masika utatamani uikimbie nyumba yako.
 
Huko boko kunajulikana kwa kujaa maji....Ungetudokeza kidogo ishu ya kujaa maji kipindi cha masika ingekua poa...
Hapana mkuu hamnashida ya maji kabisa na c boko yote inashida ya maji.we njoo uone nyumba na utaona tu mazingira yenyewe yalivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…