dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
- Thread starter
-
- #681
Hiyo mkuu ni kodi ya kupanga nyumba kwa mwaka mmoja maeneo haya.Kuna 18m hapa mkuu
Kidogo ndo sh ngapi,Tumepunguza bei kidogo
Sawa mkuu karibu uone nyumba haya mengine yanaongelekaKuna 20m hapa
Karibu uone nyumba mkuu baada ya hapo tukutane kwenye meza ya mazungumzoKidogo ndo sh ngapi,
5,000,?
50,000,?
500,000? Au
5,000,000?
Ahsante ngoja nione kidogo.Karibu uone nyumba mkuu baada ya hapo tukutane kwenye meza ya mazungumzo
Karibu sana mkuu maeneo yapoLazima niwe na eneo Mbweni
Pamoja sana mkuuAhsante ngoja nione kidogo.
hilo ni pori kabisa, acheni masikharaNdio maeneo tu ya mjini hayo mkuu usitishwe na huo muonekano maana hilo shamba lote ndio miongoni mwa eneo tunalogawa viwanja.
Zipo karibia heka 50 hapo ila kwa sasa tunagawa eneo la heka 10
Ndio maeneo tu ya mjini hayo mkuu usitishwe na huo muonekano maana hilo shamba lote ndio miongoni mwa eneo tunalogawa viwanja.
Zipo karibia heka 50 hapo ila kwa sasa tunagawa eneo la heka 10
Jirani na chuo cha sanaa cha kaoleBagamoyo sehemu gani kiongozi?
Milioni mia moja na themanini mkuu.
Dah.., yaani iyo 'M' ni zero ziwe 6. Mawee...!! Sijawahi kufikiria, Wengine ingekuwa 'L' yaani laki yenye zero 5 ningejaribuhahaa.. mkuu kama huamini sio!!