Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Kuna 18m hapa mkuu
Hiyo mkuu ni kodi ya kupanga nyumba kwa mwaka mmoja maeneo haya.

Ila viwanja ninavyo vya bei hiyo meneo mengine tofauti na haya ya ununio. Kwa ofa yako karibu sana bunju,mapinga, goba,mabwepande, madale, kigamboni
 
Viwanja vinauzwa vyenye ukubwa tofati tofauti
Mita 20 kwa 20 bei 5.5m
Mita 25 kwa 30 bei 7m
Mita 30 kwa 30 bei 8m
Mita 40 kwa 40 bei 15m
Mita 40 kwa 50 bei 17m
Mita 50 kwa 50 bei 22m

Bei zina maongezi kidogo. Umbali wa beach nusu km

Maongezi zaidi 0756060183View attachment 1641803

20201118_100851.jpg
 
Ndio maeneo tu ya mjini hayo mkuu usitishwe na huo muonekano maana hilo shamba lote ndio miongoni mwa eneo tunalogawa viwanja.

Zipo karibia heka 50 hapo ila kwa sasa tunagawa eneo la heka 10
 
hilo ni pori kabisa, acheni masikhara
 
Bagamoyo sehemu gani kiongozi?

Back
Top Bottom