Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Nyumba inapangishwa ipo ununio
Vyumba 3 na kimoja ni self
Nyumba inajitegemea
Bei 400,000 kwa mwezi
Mqwasiliano zaidi 0756060183

Attachments

  • 20201126_185842.jpg
    34.2 KB · Views: 3
  • IMG-20201209-WA0129.jpg
    94.6 KB · Views: 3
Nyie mnawadanganya sana wauzaji..
Mkuu hamna kitu kama hicho, wew ukija kuona nyumba nakuunganisha na mwenyewe mnaongea na kupatana wenyewe ,sasa hapo ndg yangu dalali atakomaliaje mabei makubwa? Mimi nalipwa commission tu tena yenyewe n ya kupatana
 
Mulioni 255 nyumba ya chini? Ukweli kwa wenye uzoefu wa ujenzi pesa hiyo ukiondoa gharama ya kiwanja ukabaki na 200m utajenga ghorofa Pagala na kuezeka. Ubakiza kidogo uongezee ufanye finishing utakayo. Gharama ya nyumba ni aina ya finishing uliyofanya I.e class ya finishing accessories.
Mkuu waambieni wanaowapa hizi deal wajue uchumi hauko rafiki sana. Hivyo bei ziendane na uhalisia wa mali. Ikifika 80m nijulishe nitalipa cash Yaani hakuna installlments
 
Mkuu hamna kitu kama hicho, wew ukija kuona nyumba nakuunganisha na mwenyewe mnaongea na kupatana wenyewe ,sasa hapo ndg yangu dalali atakomaliaje mabei makubwa? Mimi nalipwa commission tu tena yenyewe n ya kupatana
Natafuta nyumba za 50m, 60m, 70m ukizipata maeneo kuanzia salasala mpaka Bunju niambie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…