Billgates wa bongo
Member
- Nov 6, 2012
- 96
- 28
Ipo bweni km utahitaji ni pm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaa hata saivi kuna maeneo vimelegezwa mkuuSubiri rais ajaye atakaporegeza vyuma
Mkuu bei anapanga muuzaji na si dalaliMadalali mnajimaliza wenyewe sass hiyo utauzia nani bei hiyo??
Mkuu hamna kitu kama hicho, wew ukija kuona nyumba nakuunganisha na mwenyewe mnaongea na kupatana wenyewe ,sasa hapo ndg yangu dalali atakomaliaje mabei makubwa? Mimi nalipwa commission tu tena yenyewe n ya kupatanaNyie mnawadanganya sana wauzaji..
Pamoja sana mkuuSw mdau uza tu
Viwanja mbweni sqm 900 hadi 1600 vinaenda kwa Tsh ngapi?Karibu ujipatie nyumba kwa bei nzr
Ok pw sana mkuu tuwasilianeNjoo pm ww dalali tukaone hiyo nyuma leo jioni
[emoji23][emoji23]Mara paap nimeokota 300m[emoji4]
Natafuta nyumba za 50m, 60m, 70m ukizipata maeneo kuanzia salasala mpaka Bunju niambie.Mkuu hamna kitu kama hicho, wew ukija kuona nyumba nakuunganisha na mwenyewe mnaongea na kupatana wenyewe ,sasa hapo ndg yangu dalali atakomaliaje mabei makubwa? Mimi nalipwa commission tu tena yenyewe n ya kupatana