Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Nyumba ina vyumba 5 na vyote ni self na pia kuna nyumba ndogo ya pembeni
Size plot 1200 sqm
Nyumba bado finishingi.

Bei 360m
Maongezi zaidi 0756060183

 
Mkuu finishing ya hiyo nyumba inaweza kukaribia gharama zilizotumika kuinua hilo boma na kupaua. kwa hiyo hapo unazungumzia jengo la milioni 500+
Kweli mkuu na huo ndio uhalisia wa bei za nyumba maeneo haya..karibu mkuu uishi
 
Simike ndo wapi pia?
Hata Milioni 200 hapati. Huko nyuma watu wakitakatisha fedha ya mihadarati angepata. Lakini Leo hela kuhangaika hivi anunue nyumba sehemu sio prime area kwa being mbya ni ndoto. Angalia matangazo Sikh hizi nyumba upanga vyumba vitatu Milioni 200, ingawa ni sehemu ya ghorofa lakini ni mjini kati. Hiyo hata Milioni 200 cash hapati. Ni ukweli mchungu umeze tu.
 
Awamu hii unayoita ngumu Laizer kajenga shule ya M.466 na kuipa serekali.

Wapo watakaonunua, sie tupite kushoto tu.
 
moja ya ndoto yangu ni kujenga nyumba yangu ya pili ununio au mbezi beach means umabli kutoka bahari usiwe zaid ya 10km am still fighting.
ukipata viwanja kuanzia 10m naomba nicheki pm boss location nataka maeneo hayo
 
Una ela wewe
Wakati juzi tu nimeshuhudia shamba la heka 10 linauzwa kwa milioni 250

Sio kila anayenunua nyumba kama hiyo atataka aishi wengine hununua kuwekeza au kuhifadhi pesa tu

Serikali ya sasa km unataka kuhifadhi pesa yako bila bughuza nibora uhifadhi pesa katika kununua propert km hizo
kuliko kuhifadhi pesa bank hata kutoa au kuweka tu milioni 20 tu maswari kibaoooo kwani zako wkt wa kutafuta mlinisaidia
Km nyinyi mko vizuri nichunguzeni mtu kwa muda wenu mkinikuta na hatia ya utakatishaji fedha nikamateni
Sio kila mtu kiasi mnauliza uliza tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…