dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
- Thread starter
- #801
Mkuu nitakuja kukupa mrejesho maana mpaka sasa nimeshapokea ofaHata Milioni 200 hapati. Huko nyuma watu wakitakatisha fedha ya mihadarati angepata. Lakini Leo hela kuhangaika hivi anunue nyumba sehemu sio prime area kwa being mbya ni ndoto. Angalia matangazo Sikh hizi nyumba upanga vyumba vitatu Milioni 200, ingawa ni sehemu ya ghorofa lakini ni mjini kati. Hiyo hata Milioni 200 cash hapati. Ni ukweli mchungu umeze tu.