dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
- Thread starter
-
- #801
Mkuu nitakuja kukupa mrejesho maana mpaka sasa nimeshapokea ofaHata Milioni 200 hapati. Huko nyuma watu wakitakatisha fedha ya mihadarati angepata. Lakini Leo hela kuhangaika hivi anunue nyumba sehemu sio prime area kwa being mbya ni ndoto. Angalia matangazo Sikh hizi nyumba upanga vyumba vitatu Milioni 200, ingawa ni sehemu ya ghorofa lakini ni mjini kati. Hiyo hata Milioni 200 cash hapati. Ni ukweli mchungu umeze tu.
Pamoja sana mkuumoja ya ndoto yangu ni kujenga nyumba yangu ya pili ununio au mbezi beach means umabli kutoka bahari usiwe zaid ya 10km am still fighting.
ukipata viwanja kuanzia 10m naomba nicheki pm boss location nataka maeneo hayo
Asante sana mkuu kwa maelezo na uchambuzi mzuriUna ela wewe
Wakati juzi tu nimeshuhudua shamba la heka 10 linauzwa kwa milioni 250
Sio kila anayenunua nyumba kama hiyo atataka aishi wengine hununua kuwekeza au kuhifadhi pesa tu
Serikali ya sasa km unataka kuhifadhi pesa yako bila bughuza niherii uhifadhi pesa katika kununua propert km hizo
kuliko kuhifadhi pesa bank hata kutoa au kuweka tu milioni 20 tu maswari kibaoooo kwani zako wkt wa kutafuta mlinisaidia
Km nyinyi mko vizuri nichunguzeni kwa muda wenu mkinikuta na hatia nikamateni
Sio kila kiasi mnauliza uliza
Daah yaani bora umenisaidia mkuuSimike ndo wapi pia?
Kweli kabisa mkuu na asante sanabei nzuri sana kwa mwenye hela eneo kubwa hilooo
Ni chato ukiwa unatokea Geita mkuuuununio ndio wapi wandugu? KWA SISI WA MIKOANI
Duh!Iko Simike
Asante sana mkuuImetulia sana na bei reasonable.
Pamoja sana mkuu
Yaani nyie watu mnavyoongea mnaweza kusema hiyo mihadarati na money laundering ilikuwa inafanywa na kila mtu!!! Wanunuzi waliopungua ni wale wa nyumba za 50M, au sana sana 100M ambao majority ni baadhi ya kada za utumishi wa umma waliokuwa wanategemea maposho ya safari za nje and all that!!! Lakini wanunuzi wa nyumba za 9 figures bado wapo! Na mtakuwa mnajidanganya sana mkidhani hakuna wauza sembe; waliopungua ni wachuuzi wa sembe kwa staili ya kumeza pipi!!Hata Milioni 200 hapati. Huko nyuma watu wakitakatisha fedha ya mihadarati angepata. Lakini Leo hela kuhangaika hivi anunue nyumba sehemu sio prime area kwa being mbya ni ndoto. Angalia matangazo Sikh hizi nyumba upanga vyumba vitatu Milioni 200, ingawa ni sehemu ya ghorofa lakini ni mjini kati. Hiyo hata Milioni 200 cash hapati. Ni ukweli mchungu umeze tu.
Mkuu karibu uone nyumba maongezi yapo tena mazuri tuBei inapungua mpaka ngapi bosi
Kweli kabisa ndg ila naamini hata wewe ukiiona utaipenda tuHili ghorofa limejengwa kwa test ya mjengaji.