dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
- Thread starter
-
- #821
Karibu sana mkuu, uko huru kufanya chochote ili mradi tu usihamie kabla ya kulipiaNije na drill tupime ubora wa concrete kabla sijalipia cash?
Karibu sana mkuuNyumba safi, ni hizo fedha hakuna nimeipenda
Mkuu maji yanatoka full time... awamu hii pamoja na changamoto zake nyingi ila kwa maswala ya maji na barabara wamejitahidiMaji vipi? Mazingira yanaonesha kama kuna ukame wa maji?
🤣🤣🤣 eti huwezi amini. Wenye za madafu tunachungulia tu.Huwezi amini sijauza hii nyumba mpaka leo
Sema blaza hii design ndani walipuyanga kidogo. Hapo eneo la wazi toka chini mpk juu...Huwezi amini sijauza hii nyumba mpaka leo
[emoji23] mtatuuwa njaa wenzenu sasa jameni[emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti huwezi amini. Wenye za madafu tunachungulia tu.
Hahaa na tumeamua kupunguza na bei bado hatujapata hata mteja wa kusema tumpunguzie...hii si bure aisehSema blaza hii design ndani walipuyanga kidogo. Hapo eneo la wazi toka chini mpk juu...
Sema nahisi ukwasi mdogo ndio unanisumbua mtazami. Good luck.
Kwa uwezo wa Mungu/Allah itatimia,kaza kumuamini na ongeza bidii kwenye harakati za utafutaji mapeneNna ndoto ya kuwa na gorofa ndoto sijui itatimia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Wanaiga styles za Europe na USA, matokeo yake wanapoteza sana space ambayo ingeweza kuwa functional kwa jamii za kiafrika. Matatizo ya kuiga tu ndio hayo.Sema blaza hii design ndani walipuyanga kidogo. Hapo eneo la wazi toka chini mpk juu...
Sema nahisi ukwasi mdogo ndio unanisumbua mtazami. Good luck.
Ila bado ukiinunua uwezekano wa kuibadirisha upo mkuuWanaiga styles za Europe na USA, matokeo yake wanapoteza sana space ambayo ingeweza kuwa functional kwa jamii za kiafrika. Matatizo ya kuiga tu ndio hayo.
Pw sana mkuu na asante sanaTemeke Home Sweet Home
Acha Tuwajulishe Wenye Cash
Mambo magumuHuwezi amini sijauza hii nyumba mpaka leo
Dah hatari sana ndg yanguMambo magumu