Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Wakuu tumeshauriana na muuzaji tupunguze bei kidogo ya nyumba..karibu utupe ofa yako
 
M270 sidhani kama inalingana na hiyo nyumba
Madalali huharibu sana biashara za watu. Ukitaka kuuza mali yako usimpe dalali katika dunia hii ya utandawazi, atakuchelewesha au atakuharibia!
 
Madalali huharibu sana biashara za watu. Ukitaka kuuza mali yako usimpe dalali katika dunia hii ya utandawazi, atakuchelewesha au atakuharibia!
Mkuu huwezi kufanya biashara bila dalali, maana kwa kufanya hivyo ni sawa na kusema ufanye biashara bila matangazo
 
Mkuu huwezi kufanya biashara bila dalali, maana kwa kufanya hivyo ni sawa na kusema ufanye biashara bila matangazo
Yaani, mimi nashindwa kupost kitu changu mtandaoni kuuza mpaka nitafute dalali? Ninachosema madalali wanapandisha bei kuliko bei ya mwenye mali. nafahamu nyumba moja huko Dar es Salaam mwenyewe anauza milioni 50 tu, lakini dalali kakomaa kuuza milioni 80! matokeo yake mwenye nyumba anachelewa kupata mnunuzi, na dalali hana haraka kwa kuwa anapata mia mbi tatu kila siku anapoenda kuonyesha watu nyumba za kupanga, viwanja nakadhalika
 
Sawa mkuu ila sisi hatuongezi pesa kwenye bei ya muuzaji bali malipo yetu ni commission tu za kawaida na zenyewe ni za kujadiriana na sio za lazima.
Lakini yote kwa yote uwamuzi ni wako mkuu kutumia Dalali au kutafuta mteja au muuzaji mwenyewe.
Lakni mkuu nakuomba usiache kutupa kazi sisi ni waungwana sana
 
wewe kweli umeenda shule ya sales, lugha yako haina ukakasi ni lugha ya kushawishi kwa nguvu ya biashara very soon utauza. siyo kama watu wengine wakipewa challenge kidogo hata utani povu kama lote
 
wewe kweli umeenda shule ya sales, lugha yako haina ukakasi ni lugha ya kushawishi kwa nguvu ya biashara very soon utauza. siyo kama watu wengine wakipewa challenge kidogo hata utani povu kama lote
Nashkr sana mkuu
 
Wewe Ni dalali au Ni mmiliki halisi wa hiki kiwanja ? Nataka kujua mtu akinunua,udalali analipa nani
 
Located at Kijichi - Mbagala Kuu
  • 4 Bedrooms House (2 Self)
  • Big windows
  • Kitchen
  • Sitting room
  • Dining room
  • Common toilet ( public toilet)
  • Water --- Fenced
  • An ideal for Residence
  • Price: Tsh. 150 Mil (Negotiated)
  • Plot size. 900 Sqm.
  • Documents: Surveyed - Clean Title deed
  • Inagusa barabara kubwa ya lami - Mbagala Kuu
Maelezo zaidi 0756060183

Nimeshauriana na mwenye hii nyumba tumekubaliana kupunguza bei kidogo..karibu ndg mteja wetu utupe ofa yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…