Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

M270 sidhani kama inalingana na hiyo nyumba
 
Je, hiyo nyumba ndogo ya wapangaji ipo ndani ya fensi moja na nyumba kubwa??!
Ndio mkuu ila ipo kwa pembeni,unaweza kufanya nyumba ya wafanya kazi nk. Maana ni chumba na sebule na pia kuna chumba kingine kimoja kwa sasa tumepangisha wanafunzi..frem zenyewe ziko kwa nje hamna muingiliano kabisa maana ziko mbili na ziko kwa pembeni kabisa mwa fenc
 
Mkuu mbweni ubungo upande upi? Wa polisi au upande wa kuelekea shuleni?

Nakushauri ungewaeleza watu pale mbweni kuna sehemu inaitwa ubungo kabsa na si wilaya ya ubungo....


By the way kwa sasa mbweni kiwanja tu si chini ya 50m
 
Back
Top Bottom