Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Nyumba ina vyumba 3 kimoje ni self na pia kuna garege na imezenguushiwa fensi.
Mtaa mzuri na ni nyumba ya tatu kutoka beach
Kodi yake kwa mwezi ni 600,000/= na malipo ni kuanzia miezi 6 na kuendelea

Maongezi zaidi 0756060183
View attachment 1696133
20210205_115821.jpg
20210205_115816.jpg
20210205_115750.jpg
20210205_115725.jpg
 
Kwa hali hii ya uchumi uliokufa kwa sababu ya upuuzi wa yule mzee wa Chato, kuweza kuiuza hiyo nyumba kwa zaidi ya milioni 100 kutakuwa muujiza mkubwa kwa mwaka huu.

Watu hawana pesa kabisa. Watu wanatafuta pesa ya kuweza kula na kulala tu, mambo mengine hayawezekani kabisa.

Regardless ya thamani ikoje, ukata uliopo sasa ndio utakaoamua bei ya kuuzwa hiyo nyumba.
 
Hiyo nyumbw ukiuza sana 120
Mitano tena or not milele tena hiyo nyumba akipata million 100 uje nitafute tupate dinner au lunch. Tajiri hiyo nyumba maeneo ya Mikocheni, mbezi beach, maswali n.k unaweza kupata 150m. Matajiri hawataki huko mbali na wakitaka huko watajijengea nyumba za maana na nyingi ni ghorofa. Mtanzania anayeuza asset miaka hii ninamhurumia mno maana haitauzika na ikiuzika ni kwa bei ya kutupwa.
 
𝐌𝐢𝐞 𝐧𝐚𝐭𝐚𝐟𝐮𝐭𝐚 𝐍𝐲𝐮𝐦𝐛𝐚 𝐌𝐨𝐫𝐨 𝐚𝐮 𝐃𝐨𝐝𝐨𝐦𝐚. 𝐁𝐚𝐣𝐞𝐭𝐢 𝐢𝐬𝐢𝐳𝐢𝐝𝐢 30𝐦𝐥.
 
Kwa hali hii ya uchumi uliokufa kwa sababu ya upuuzi wa yule mzee wa Chato, kuweza kuiuza hiyo nyumba kwa zaidi ya milioni 100 kutakuwa muujiza mkubwa kwa mwaka huu.

Watu hawana pesa kabisa. Watu wanatafuta pesa ya kuweza kula na kulala tu, mambo mengine hayawezekani kabisa.

Regardless ya thamani ikoje, ukata uliopo sasa ndio utakaoamua bei ya kuuzwa hiyo nyumba.
Mambo yatakuwa mazuri tu,waswahili tunasema hakuna marefu yasiyokuwa na Ncha
 
𝐌𝐢𝐞 𝐧𝐚𝐭𝐚𝐟𝐮𝐭𝐚 𝐍𝐲𝐮𝐦𝐛𝐚 𝐌𝐨𝐫𝐨 𝐚𝐮 𝐃𝐨𝐝𝐨𝐦𝐚. 𝐁𝐚𝐣𝐞𝐭𝐢 𝐢𝐬𝐢𝐳𝐢𝐝𝐢 30𝐦𝐥.
Ngoja nitakupa Dodoma zipo za kutosha
 
Nyumba ni nzuri lakini sijapenda finishing ya bathroom. Ukioga maji yaaweka ukungu kwenye choo.
 
Back
Top Bottom