dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
- Thread starter
-
- #1,101
Asante sana mkuuuzuri wa hii nyumba ina eneo kubwa, ila hatuna tu pesa.
Karibu sana mkuuHaya boss tupe muda kdgo
Kaka hii gari haujaiuza mpaka leo?Wadau chuma nimeirudisha tena sokoni
Mkuu kuna kipindi nilighairi kidogo ila now nimeirudisha sokoni
Emeona eeh mkuuBei ya kawaida sana hio basi tu hela ngumu
Nahisi ni zile walizonunua bei cheeee za chang'ombe alafu wanataka kuziuza bei kubwaMbona kama ni "kota".
Hahahaha!! Shekh unashangaa 160M tu? Watu wananunua kiwanja from 500M na bado hajajenga. I think its a reasonable price kwa location iyo sana tu.Dar ina nini haswaa? Hiyo 160 ni heli nikanunue mwanza kiwanja nijenge na hela inabaki
Hahahaha!! Shekh unashangaa 160M tu? Watu wananunua kiwanja from 500M na bado hajajenga. I think its a reasonable price kwa location iyo sana tu.
Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
Dar ina nini haswaa? Hiyo 160 ni heli nikanunue mwanza kiwanja nijenge na hela inabaki
Kweli mkuu ila usisahu Temeke ndio Town in dar yenyeweDar ina nini haswaa? Hiyo 160 ni heli nikanunue mwanza kiwanja nijenge na hela inabaki
Kweli mkuuSio mwanza apo apo Kiwanja cha 10m madale bunju ama Kigamboni safiiiii
Sawa mkuu na asante sana kwa ushauriJaribu pia kuwatangazia balozi wanaweza wakaichukua maana kweli ni nzuri.