dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
- Thread starter
- #1,081
Mkuu udalali upo tu hata ukipunguziwa bei ila cha msingi njoo uone nyumba na ukutane na mwenyewe myajenge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu udalali upo tu hata ukipunguziwa bei ila cha msingi njoo uone nyumba na ukutane na mwenyewe myajenge
For sure mkuu after 24yr ndo utaanza sasa kuona faida ...pengine unaweza usiwe duniani ..Ila utakao waachia wakaanza Kula matundaMiaka 24 Umemaliza deni unaanza kula faida.............
Kweli kabisa mkuuFor sure mkuu after 24yr ndo utaanza sasa kuona faida ...pengine unaweza usiwe duniani ..Ila utakao waachia wakaanza Kula matunda
Mipango tu ndg yangu siunajua tena wafanya biashara hawa wanaangalia fulsa nyingineMwenye mjengo kakumbwa na nini tena mpaka anataka kuuza
Hahaa mkuu hili ni eneo la Biashara na lina ukubwa wa 6,742 sqmM85 au mia mia 8 na 50??
Ni kweli ndg ila kama hii imezingatia vigezoUkweli kwamba kkoo wameiharibu sn hawa wapanga MIJI na walaaniwe wote walihusika kuiharibu Kkoo yetu imekuwa haina hata mvuto mji umekuwa shaghalabaghala.
Wala sipingi kujenga Majumba Marefu na mipinga utoa waji wa vibali vya ujenzi ambao hauna ufatiali wa kimamlaka nyumba ndefu haina lift haina emergency exit incase of Fire, kingine nyumba zipo mtaa mmoja lkn utakuta nyumba hazina uwiano hata kidogo unakuta hii imezidi mbele hii imerudi nyuma hali mradi mauzauza tu.
Karibu sana mkuu na ukija kuona hivi utapata na ofa ya kuona na vingine maneo tofauti tofauti kama utapendaNakuja tuongee hicho cha 130m
Mkuu karibu uishi kifahariHataree