Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Wakuu nilighairi kidogo kuuza hii gari ila kwa sasa nimeirudisha sokoni..bei ya kuanzia 7.5m
Karibu nipe ofa yako
 
Ngoma ngumu hiyooo,SUV nzuri sana,kila la kheri ni vile mambo yameingiliana tu
 
Mkuu gari iko Dar mbezi beach! Karibu uone gari mkuu utaongeza hela kidogo machine imekomaa sana aiseh..hii kwa jina jingine inaitwa machine poli
Hiyo ni chuma ya nguvu,mi huwa nailinganisha na Landcruiser mkonga kwa ugumu,hiyo unapiga safari kutoka Kagera,Kigoma,Kahama,mpaka Dar chuma haichemshi,ikiwa kwenye spidi,hata gauge ya joto inashuka kidogo.
 
Hiyo ni chuma ya nguvu,mi huwa nailinganisha na Landcruiser mkonga kwa ugumu,hiyo unapiga safari kutoka Kagera,Kigoma,Kahama,mpaka Dar chuma haichemshi,ikiwa kwenye spidi,hata gauge ya joto inashuka kidogo.
Kweli kabisa mkuu na ubora wake haushuki
 
Toyota rav4 old model
Engine type 3a
Engine cc 1990
Full air condition
Setting capacity 5
Automatic gear
Import from Japan
IMG_20210429_094432_072.jpg
 
Kiwanja kipo mbezi beach Afrikana block L
Ukubwa 1200 sqm
Hati ipo
Bei 250m
Maongezi zaidi 0756060183
20210507_104945.jpg
20210507_104941.jpg
20210507_104938.jpg
 
Nyumba ina vyumba 3 kimoja ni self
Size plot 2400 SQM
Nyumba ya pili kutoka lami
Bei Tsh 280m
Maongezi zaidi 0756060183

IMG-20210501-WA0009.jpg
IMG-20210501-WA0008.jpg
IMG-20210501-WA0001.jpg
IMG-20210501-WA0006.jpg
IMG-20210501-WA0010.jpg
IMG-20210501-WA0002.jpg


20210430_121625.jpg
 
Vipo ukubwa tofauti tofauti na kwa kila sqm 1 Tsh 17,000
Maelezo zaidi 0756060183

20210507_153529.jpg
20210507_153526.jpg
20210205_115824.jpg
 
Barabara kuu ya rami Salasala Benaco,
Bei yake ni mil, 80 maongezi yapo ina room 3 za kulala moja ni master,
Kiwanja ni sq, 1400 karibu sana.

Mawasiliano zaidi 0756060183.

IMG-20210510-WA0001.jpg
IMG-20210510-WA0002.jpg
IMG-20210510-WA0003.jpg
IMG-20210510-WA0004.jpg
 
Back
Top Bottom