dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
- Thread starter
- #1,041
Wakuu nilighairi kidogo kuuza hii gari ila kwa sasa nimeirudisha sokoni..bei ya kuanzia 7.5m
Karibu nipe ofa yako
Karibu nipe ofa yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona eeh mkuuMoja ya chuma ya kazi inayoheshimika sana.
Toyota RAV4 ndiyo gari pekee ambayo huwa haikosoleki kirahisi!Umeona eeh mkuu
Moja ya chuma ya kazi inayoheshimika sana.
Sana mkuu miaka mia ngoma kazi kazi..karibu mkuu mambo yakikaa sawa nichek vyuma kama hivi huwa nakuwa navyoNgoma ngumu hiyooo,SUV nzuri sana,kila la kheri ni vile mambo yameingiliana tu
Kweli kabisa mkuuToyota RAV4 ndiyo gari pekee ambayo huwa haikosoleki kirahisi!
Sana mkuu miaka mia ngoma kazi kazi..karibu mkuu mambo yakikaa sawa nichek vyuma kama hivi huwa nakuwa nav
Haina noma mkuuSana mkuu miaka mia ngoma kazi kazi..karibu mkuu mambo yakikaa sawa nichek vyuma kama hivi huwa nakuwa navyo
Hiyo ni chuma ya nguvu,mi huwa nailinganisha na Landcruiser mkonga kwa ugumu,hiyo unapiga safari kutoka Kagera,Kigoma,Kahama,mpaka Dar chuma haichemshi,ikiwa kwenye spidi,hata gauge ya joto inashuka kidogo.Mkuu gari iko Dar mbezi beach! Karibu uone gari mkuu utaongeza hela kidogo machine imekomaa sana aiseh..hii kwa jina jingine inaitwa machine poli
Kweli kabisa mkuu na ubora wake haushukiHiyo ni chuma ya nguvu,mi huwa nailinganisha na Landcruiser mkonga kwa ugumu,hiyo unapiga safari kutoka Kagera,Kigoma,Kahama,mpaka Dar chuma haichemshi,ikiwa kwenye spidi,hata gauge ya joto inashuka kidogo.
Kabisa mkuuRoho ya paka
Naomb namb ya huyu uliyemuuzia.Ongea nae akikubali nitumie kweny private msg niongee naye.Wadau asanteni kwa michango na ushirikiano wenu Kiwanja tumeshamuuzia mdau mmoja humu ndani.