dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
- Thread starter
-
- #1,141
Mkuu bei hizi zinamaongezi na pia mwenye nyumba anaweza kumkabidhi kazi dalali yoyote na kwa wakati tofauti tofautiMadalali bwana. Kuna mwingine anaiuza nyumba hii hii TZS350 milioni!
Sasa muwe mnakutana madalali mliokabidhiwa ili kuwa na bei ya pamoja.vinginevyo madalali wote mtaonekana matapeli.Mkuu bei hizi zinamaongezi na pia mwenye nyumba anaweza kumkabidhi kazi dalali yoyote na kwa wakati tofauti tofauti
Hapana na hauwezi kuwajua wote,, sema mwisho wa siku mteja akiona nyumba anaongea na mwenyewe moja kwa moja.swala la utapeli haliwezi kutokeaSasa muwe mnakutana madalali mliokabidhiwa ili kuwa na bei ya pamoja.vinginevyo madalali wote mtaonekana matapeli.
Aaah ok .sawaHapana na hauwezi kuwajua wote,, sema mwisho wa siku mteja akiona nyumba anaongea na mwenyewe moja kwa moja.swala la utapeli haliwezi kutokea
Basi tu alikuwa anamalizia ujenzi mambo ya maisha tu yamemfanya auzeMwenye nyumba kaikimbia nini?
Mkuu bei hizi zinamaongezi na pia mwenye nyumba anaweza kumkabidhi kazi dalali yoyote na kwa wakati tofauti tofauti
Hata hii hapa unaweza kuweka ofc mkuu, bei ndio hiyo hiyoAppartment ya ofisi bei gani exactly?
Mkuu bei hii ni ya kuanzia tu ila ina maongezi makubwa tuOk...mln 370
Mbona kama haijafanyiwa finishing
Hiyo nyumba
Ova
Mkuu ungezijua bei zake usingeongea haya ila kwakuwa hujui kuhusu magari siwezi kumaind.Milion 22, Nikinunua unanipa na Connection za Japan au sio ???
Sawa ila hii ni ya zamani na hii ninayouza mimi ni new model...ndio maana nikasema swala la magari ni muhimu kuyajuaHiyo 13m madalali mnazinguaView attachment 1878459
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Duh kakudanganya mkuuHii jamaa yangu aliagiza kutoka japani ,iligharimu 12 milioni mpaka inangia mtaaani yaaani hapo ashalipa kodi na kila kitu.
Bei zake bila ushuruHii jamaa yangu aliagiza kutoka japani ,iligharimu 12 milioni mpaka inangia mtaaani yaaani hapo ashalipa kodi na kila kitu.
Huenda ni zile za mwaka 78 mkuu hatuwezi jua😅Duh kakudanganya mkuu