Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Bongo magari bei gali mno. Wakati japani na uarabuni bei cheap sana. Ishu ikifika apa ushulu wake waweza nunua gali lingine kama hilo. Hii nchi imekaa kipumbafu mnoo.
System za kodi ndio za kipuuzi ila vitu vingi vingekuwa cheap sana
 
Mfumo wa kodi za magari ndo changamoto. Miaka kadhaa iliyopita ilikuwa unaweza kuwaza kwamba angalau kodi jumla zitakuwa 60% maximum ya bei ya kununulia. Ila sasa hivi ni 100%+ ya thamani ya kununulia.
 
Na hii ndio inayofanya magari kuwa bei kubwa Nchini
 
Nimesema hivyo ukitofautisha na 2006 na hii ya 2010
Crown ya mwaka 2010 ni fifth generation. Inayoanzia 2009-2013. Kuna sixth generation inaanzia 2013 na kuendelea. Hiyo ndiyo unaweza kusema new model.

Hiyo gari haina hiyo thamani hata kidogo, tena ukizingatia imeishatumika Bongo.

Hapa madalali ndo mnacheleweshaga biashara aisee.

Angalia hiyo Loyal Saloon hapo chini na ni ya 2012.

Screenshot_20210803-145204.png
 
Mfumo wa kodi za magari ndo changamoto. Miaka kadhaa iliyopita ilikuwa unaweza kuwaza kwamba angalau kodi jumla zitakuwa 60% maximum ya bei ya kununulia. Ila sasa hivi ni 100%+ ya thamani ya kununulia.
Yeah unanunua gari 6M kodi ni 7.5M. Ndio tulipofikia sasa sijui hizi caluculations wanazifanya kwa mtindo gani
 
Back
Top Bottom