Jick
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 1,327
- 2,041
Kwa kifupi hujui unachokifanya.Gari ni mpya na ni ya mwaka 2010
Bei 22m
Maongezi zaidi 0756060183View attachment 1878435View attachment 1878436
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kifupi hujui unachokifanya.Gari ni mpya na ni ya mwaka 2010
Bei 22m
Maongezi zaidi 0756060183View attachment 1878435View attachment 1878436
Haha kweli itakuwa,, unajua watu wanajua sana kushusha thamani vitu hata hawavijui..hii imenikumbusha enzi hizo kwenye history mababu zetu walikuwa wanachezea bao dhahabu na almasiHuenda ni zile za mwaka 78 mkuu hatuwezi jua[emoji28]
Sawa mkuu.Kwa kifupi hujui unachokifanya.
Hahahahah kuna watu kazi yao ni kurahisisha mambo hapo hata crown hajawahi endesha ila anajifanya mjuaji kichizi😅Haha kweli itakuwa,, unajua watu wanajua sana kushusha thamani vitu hata hawavijui..hii imenikumbusha enzi hizo kwenye history mababu zetu walikuwa wanachezea bao dhahabu na almasi
Na hili ni tatzo kubwa sana kwenye hii jamii yetu mkuuHahahahah kuna watu kazi yao ni kurahisisha mambo hapo hata crown hajawahi endesha ila anajifanya mjuaji kichizi[emoji28]
Huenda ni zile za mwaka 78 mkuu hatuwezi jua😅
Wewe unayeyajua magari unathubutuje kusema hiyo new model.Sawa ila hii ni ya zamani na hii ninayouza mimi ni new model...ndio maana nikasema swala la magari ni muhimu kuyajua
Gari ya mwaka 2010 inawezaje kuwa mpya?Gari ni mpya na ni ya mwaka 2010
Bei 22m
Maongezi zaidi 0756060183View attachment 1878435View attachment 1878436
Gari ni mpya na ni ya mwaka 2010
Bei 22m
Maongezi zaidi 0756060183View attachment 1878435View attachment 1878436
System za kodi ndio za kipuuzi ila vitu vingi vingekuwa cheap sanaBongo magari bei gali mno. Wakati japani na uarabuni bei cheap sana. Ishu ikifika apa ushulu wake waweza nunua gali lingine kama hilo. Hii nchi imekaa kipumbafu mnoo.
Kwa hapa Nchini inakuwa mpya ukilinganisha na toleo lililopita.Gari ya mwaka 2010 inawezaje kuwa mpya?
Halafu naomba pia wauza magari mnieleweshe mantiki ya kuwa mnaficha plate number ni kwasababu gani?
Nimesema hivyo ukitofautisha na 2006 na hii ya 2010Wewe unayeyajua magari unathubutuje kusema hiyo new model.
Huu ni ukweli kabisa mkuuNi UMASIKINI tu ndugu hamna kingine.
Mtu mwenye pesa akitajiwa bei ya kitu haongei mara 2, sentesi moja tu, "hio gari nanunua" au "hio gari sinunui" full stop amemaliza.
Yeah ni kweli hii gari ukienda leo showroom unauziwa 30m pungufu kidogo 28mBongo bei gali mno baba. Kwa m22!!!!! sioni ajabu hata wewe uenda umelinunua kwa bei gali sana.
Yeah ni kweli mkuuSystem za kodi ndio za kipuuzi ila vitu vingi vingekuwa cheap sana
Na hii ndio inayofanya magari kuwa bei kubwa NchiniMfumo wa kodi za magari ndo changamoto. Miaka kadhaa iliyopita ilikuwa unaweza kuwaza kwamba angalau kodi jumla zitakuwa 60% maximum ya bei ya kununulia. Ila sasa hivi ni 100%+ ya thamani ya kununulia.
Sawa
Crown ya mwaka 2010 ni fifth generation. Inayoanzia 2009-2013. Kuna sixth generation inaanzia 2013 na kuendelea. Hiyo ndiyo unaweza kusema new model.Nimesema hivyo ukitofautisha na 2006 na hii ya 2010
Yeah unanunua gari 6M kodi ni 7.5M. Ndio tulipofikia sasa sijui hizi caluculations wanazifanya kwa mtindo ganiMfumo wa kodi za magari ndo changamoto. Miaka kadhaa iliyopita ilikuwa unaweza kuwaza kwamba angalau kodi jumla zitakuwa 60% maximum ya bei ya kununulia. Ila sasa hivi ni 100%+ ya thamani ya kununulia.