Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

PLOT FOR SALE KUNDUCHI BEACH
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃
--- Kiwanja kipo pembezoni mwa barabara ya lami ya kwenda Kunduchi.
Kiwanja kimezungushiwa ukuta wa tofali na kuna gate.
--- Kwenye Kiwanja Kuna Servant Quarter yenye vyumba 2 vya kulala na Choo kimoja Public.

--- Plot size 1,447 Sqm

--- Kiwanja kimepimwa na kina Hati Miliki.

--- Maji yapo ( Dawasa)na umeme upo tayari.
Eneo ni Zuri Kwa kujenga Apartments, hotel (Ideal for Residential au Commercial purposes.

Bei ni Tsh 180 Million (Negotiable)
0756060183
IMG-20210821-WA0011.jpg
IMG-20210821-WA0009.jpg
IMG-20210821-WA0010.jpg

IMG-20210821-WA0008.jpg
 
Mwaka 2011 rafiki yangu alinunua kiwanja kama hicho Mabwepande kwa Tsh milioni mbili.
 
Nyumba inauzwa ununio,ina vyumba jumla 3 kimoja ni self.
Size plot 650 SQM
Bei Tsh 150m
Maongezi zaidi yapo 0756060183

20210825_134747.jpg
20210825_134659.jpg
20210825_134615.jpg
20210825_134925.jpg
20210825_134631.jpg
 
Songambele bar bado inachanganya?

Kwanini unauza hiyo nyumba.?
Hahaa bado ipo mkuu hapa ndio tunapata supu saafi na mvinyo bariidi.
Kuhusu kuuza ni uhitaji tu wa pesa kama vile waswahili tunasema kimfaacho mtu ni chake
 
Hahaa bado ipo mkuu hapa ndio tunapata supu saafi na mvinyo bariidi.
Kuhusu kuuza ni uhitaji tu wa pesa kama vile waswahili tunasema kimfaacho mtu ni chake
Basi sawa, na kila la kheri....

Kuna member mmoja hapa aliuza nyumba baadae akaleta mrejesho wa kushukuru kaiuza maana nyumba ilikuwa haikaliki, usiku kucha watu wanachezea bakora za watu wasiojulikana...

BTW (off topic) ile bar inaitwa BASINAHENE bado ipo?
 
Hahaa ikiwa namna hiyo inabidi umuite Mchungaji au Shehe aje apige dua na kufukuzia mbali nguvu za giza.

Basinahena ipo mkuu ndio vijiwe vyetu hivi tunahama hama mara songambele ,basinahena,masai mara, mwishoe tunamalizia wknd Ununio Beach,Daynest [emoji950] Xunadu
 
Dah JF raha sana. Mnaweza bishana hapa bila kujua mnayebishana naye jana mlikuwa mnanunuliana bia kaunta....

Hivyo viwanja umenikumbusha mbali... kabla sijahamia huku shambani Bunju
 
Dah JF raha sana. Mnaweza bishana hapa bila kujua mnayebishana naye jana mlikuwa mnanunuliana bia kaunta....

Hivyo viwanja umenikumbusha mbali... kabla sijahamia huku shambani Bunju
Hahaha sana mkuu.siku ukiwa mitaa hii usiache kunitafuta japo tusalimiane mkuu
 
PLOT FOR SALE AT MOSHI MJINI
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃
Located at Shanty Town

Very near to the main road

Size plot 1,726 sqm

Kimepimwa na kina Hati Miliki (Clean Title deed)

Vinafaa kujenga nyumba za makazi au biashara (Apartments)

Bei; Tsh. 95 Million
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃
Call or WhatsApp for more details. 0756060183

IMG-20210828-WA0003.jpg
IMG-20210828-WA0002.jpg
IMG-20210828-WA0001.jpg
 
Back
Top Bottom