dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
- Thread starter
-
- #1,401
Pamoja sana mkuuAhsante kwa taarifa...
Ndio mkuu Tsh 18m ila maongezi yapo
Yeah inawezekana hapo kauziwa ghari.sisi tulikuwa na mradi wa viwanja na tulikuwa tunakata laki 3 kwa ukubwa 700 SQMMwaka 2011 rafiki yangu alinunua kiwanja kama hicho Mabwepande kwa Tsh milioni mbili.
Eneo gani hilo Taja mitaaNyumba inauzwa ununio,ina vyumba jumla 3 kimoja ni self.
Size plot 650 SQM
Bei Tsh 150m
Maongezi zaidi yapo 0756060183
View attachment 1909963View attachment 1909964View attachment 1909965View attachment 1909967View attachment 1909968
Au ni kule kunakojaa maji kipindi cha mvua.Eneo gani hilo Taja mitaa
Ni kule kuelekea baharini au kule kijijini
Eleza mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ununio unapita kijijini mbele kidogo kuna bar inaitwa songambele, kutoka hapo ni mtaa wa tatu unaitwa Utulivu Street. Mitaa mizuri sanaEneo gani hilo Taja mitaa
Ni kule kuelekea baharini au kule kijijini
Eleza mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hakujai maji kabisa na kuhusu bei tunauza Tsh 150mAu ni kule kunakojaa maji kipindi cha mvua.
Ni kweli, ni heri awe muwazi...
Afu hiyo bei yake 350M naona kama sio mbaya sana kwa maeneo hayo
Songambele bar bado inachanganya?Ununio unapita kijijini mbele kidogo kuna bar inaitwa songambele, kutoka hapo ni mtaa wa tatu unaitwa Utulivu Street. Mitaa mizuri sana
Hahaa bado ipo mkuu hapa ndio tunapata supu saafi na mvinyo bariidi.Songambele bar bado inachanganya?
Kwanini unauza hiyo nyumba.?
Basi sawa, na kila la kheri....Hahaa bado ipo mkuu hapa ndio tunapata supu saafi na mvinyo bariidi.
Kuhusu kuuza ni uhitaji tu wa pesa kama vile waswahili tunasema kimfaacho mtu ni chake
Hahaa ikiwa namna hiyo inabidi umuite Mchungaji au Shehe aje apige dua na kufukuzia mbali nguvu za giza.Basi sawa, na kila la kheri....
Kuna member mmoja hapa aliuza nyumba baadae akaleta mrejesho wa kushukuru kaiuza maana nyumba ilikuwa haikaliki, usiku kucha watu wanachezea bakora za watu wasiojulikana...
BTW (off topic) ile bar inaitwa BASINAHENE bado ipo?
Dah JF raha sana. Mnaweza bishana hapa bila kujua mnayebishana naye jana mlikuwa mnanunuliana bia kaunta....Hahaa ikiwa namna hiyo inabidi umuite Mchungaji au Shehe aje apige dua na kufukuzia mbali nguvu za giza.
Basinahena ipo mkuu ndio vijiwe vyetu hivi tunahama hama mara songambele ,basinahena,masai mara, mwishoe tunamalizia wknd Ununio Beach,Daynest [emoji950] Xunadu
Hahaha sana mkuu.siku ukiwa mitaa hii usiache kunitafuta japo tusalimiane mkuuDah JF raha sana. Mnaweza bishana hapa bila kujua mnayebishana naye jana mlikuwa mnanunuliana bia kaunta....
Hivyo viwanja umenikumbusha mbali... kabla sijahamia huku shambani Bunju