dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
- Thread starter
-
- #1,601
Maji hatujaunganisha ila bomba kubwa lipo nyumba ya jirani.umeme tayari upoMaji ya Dawasco yapo ?
Ndio mkuu nahusikaNi wewe umepunguza hiyo bei kwa 30% au mwenyenyumba?
Au labda wewe ndio Mwenyenyumba?
Ndio kwa swali lipi sasa? Yako maswali tofautiNdio mkuu nahusika
Maswali yote mkuu jibu lake ni moja mimi ndio muhusika wa hii nyumba.karibu nikuuzieNdio kwa swali lipi sasa? Yako maswali tofauti
Iko salama mkuu.ukipata nafasi karibu ujionee mwenyeweUnunio iko hatarini kumezwa na bahari, hii je, iko salama kiasi gani?
How Bujibuji, weka sketch map nione pleaseUnunio iko hatarini kumezwa na bahari, hii je, iko salama kiasi gani?
OK sawa mkuu nitapita hapo nitawekaHow Bujibuji, weka sketch map nione please
Mbona vipo hadi vya milioni 500, 800M na 1B.Ni kiwanja tu? Aisee🤭
Ndio ndg..maisha tunatofautiana sanaNi kiwanja tu? Aisee[emoji2960]
Kweli kabisa mkuuMbona vipo hadi vya milioni 500, 800M na 1B.