dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
- Thread starter
- #1,561
Hahaa poa sana mkuu, acha nizingatie huu ushauriHapana mkuu maskini bado tunajichanga endelea kuleta hizo hozo za 20 tuu .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaa poa sana mkuu, acha nizingatie huu ushauriHapana mkuu maskini bado tunajichanga endelea kuleta hizo hozo za 20 tuu .
Ukishavuka daraja ni upande upi? Unapita Baobab School? Kutoka Barabara ku wa ya Bagamoyo kuingia ndani ni umbali gani?Daraja la mapinga.
Ukivuka daraja ni upande wa kulia kama unaelekea bagamoyo na umbali haizidi km 1Ukishavuka daraja ni upande upi? Unapita Baobab School? Kutoka Barabara ku wa ya Bagamoyo kuingia ndani ni umbali gani?
Inaonekana ni bei ndogo sana kutokana na eneo kilipoMafisadi na majizi kama bado mpo kiwanja hicho kinauzwa,,,mnakaribishwa
Huu ni ukweli kabisa mkuu na asante kunitia moyoInaonekana ni bei ndogo sana kutokana na eneo kilipo
Hahaa duh umetisha mkuu
Hapana mkuu hayo ni maneno tu ya kibiashara ila malipo yote hufanyikia benksijamtisha bro, ila masharti yake ndio yanatisha...
cash money kwa hela kama hiyo. milioni 70, kuhesabiana mtaani huoni kama inatisha ?
Ila hii haihusiani na tangazo hili.Ipo nyingine goba dar m5 njoo dm
Sawa mkuu, viwanja vipo naomba unchek kwenye hiyo no hapo juu tuongee zaidiMkuu mimi natafuta kiwanja Bunju kwenye mradi wa viwanja 20,000. Kiwe na clean title na ukubwa usipungue sqm 1200. Kama unacho tuwasiliane
Karibu mkuu uione bei ina maongezi sana mnaweza kuafikiana230 Ipo bila manane mengine
Kama mzigo upo makushauri uisache, kuna uzuri nimeuona hapo, labda mazingira ya nje na majirani yawe ovyo.230 Ipo bila manane mengine