Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Bar inauzwa Mabibo
Iko mabibo luanga na iko karibu sana na barabara. Inafanya kazi na mazingira yake yako vizr
Bei 120m maongezi zaidi yapo 0756060183

20210930_123507.jpg
20210930_123504.jpg
20210930_123432.jpg
20210930_123320.jpg
 
Hivi kumbe hadi huko mjini kuna nyumba zimeezekwa kwa nyasi?
 
Nyumba ya ghorofa inauzwa Bunju

Nyumba nzuri ya kisasa inauzwa inavyumba 4 vyote ni self na kwa ground floor kuna vyumba 2 self.Mitaa ya Bunju B,Ina hati na ipo kwenye mandhari nzurimno,maji umeme vya kutosha! Ndani pamewekwa tiles, skimming na rangi,nje Bado plasta size plot 1100 sqm
Bei Tsh 170m
Maongezi zaidi 0756060183
IMG-20211017-WA0026.jpg
IMG-20211017-WA0025.jpg
IMG-20211017-WA0019.jpg
IMG-20211017-WA0020.jpg
IMG-20211017-WA0021.jpg
IMG-20211017-WA0022.jpg
IMG-20211017-WA0016.jpg
IMG-20211017-WA0002.jpg
IMG-20211017-WA0022.jpg
IMG-20211017-WA0029.jpg
 
Nyumba inauzwa salasala Kinzudi

Nyumba ina vyumba 3 kimoja ni self.
Size plot 450 SQM
Bei Tsh 25m
Unaweza kuishi au kuweka wapangaji
Maongezi zaidi 0756060183
20211016_145725.jpg
20211016_145707.jpg
20211016_145647.jpg
20211016_145606.jpg
20211016_145110.jpg
20211016_145108.jpg
20211016_145148.jpg
20211016_145355.jpg
 
Alieona nyumba ya m 25 aniambie maana hapo naona bajaj tu
 
Back
Top Bottom