Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Kuna Anko wangu alitapeliwaga mil50 cha kiwanja Tegeta na alietapeli Ana nyumba pale pale jirani kidogo kwenda polisi jamaa akakamatwa akawekwa ndani kesho yake ndugu zangu wanafatilia kesi wanakuta mtuhumiwa kaaachiwa halafu wao ndo wamefunguliwa mashtaka ya kudhuru mwili kidogo polisi wanataka kuwaweka ndani ikabidi Hao ndugu wahonge tena Ili kesi iishe na ndo hivyo wakapotezea 50 mil yao
 
Aiseeh poleni sana. Ila hayo matukio kwenye jamii hayakosekani ila kununua kiwanja chenye hati ni vizuri zaidi.
 
Nyumba inapangishwa ununio
Nyumba ipo ununio Mwaitenda Road
Vyumba 5 vyote self na pia kuna nyumba ndogo ya nyuma.
Bei 1.7m kwa mwezi
Maongezi zaidi 0756060183

 
Dar es salaam properties kama plot na Nyumba kiukweli zipo over price naweza kusema mara nyingi bei hazina uhalisia kabisa kutokana na uchumi halisi mfano unanunua NYUMBA MILLION 500 inapo kuja mvua inakuwa kero kutokana na miundo mbinu hapo hapo hiyo nyumba ya MILLION 500 mita chache au kilometres moja au mbili unakutana na nyumba za squatter ukweli ni shida sn hasa DAR linapo kuja swala la makazi standard.

Sent from my SM-G975F using JamiiForums mobile app
 
Kweli kabisa mkuu ila hapa Dar pamegawanyika kuna maeneo yaliyopimwa na mengine hayajapimwa kwahiyo ni vizuri kununua nyumba au kiwanja maeneo yaliyopimwa kama hela tu inaruhusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…