dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
- Thread starter
- #1,621
Utapeli uko kila mahali mkuu ila uzuri ni kwamba kitu chochote kabla hujanunua unatakiwa kufanya uchunguzi wa kina na zaidi sana kufuatilia kwenda ardhi ambao ndio wenye mamlaka ya kujua nani mwenye kiwanja.Bahari beach kuna utapeli mwingi sana wa viwanja kuweni makini