dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
- Thread starter
-
- #1,701
Karibu mkuuu.bei inamaongezi sanaTatizo bei umeanzia kubwa sanaa
Karibu mkuu, tegeta imegawanyika,kuna maeneo yaliyopimwa na mengine hayajapimwa.Terrible! Is Tegeta such a high level prime area?
Mkuu nichk WhatsApp nikutumie video inaonyesha vizrWeka picha ya Kiwanja na Bahari ikionekana,Umbali gani kutoka Bahari?
PoaMkuu nichk WhatsApp nikutumie video inaonyesha vizr
Karibu sana mkuu
Wizi huu Ina maana 45000*400 sawa na 18,000,000 hicho ni kiwanja Cha 20 kwa 20 wizi wizi wizi wizi wizi huuWahi ujipatie kiwanja chako kwa bei rafiki
Mkuu bei ya kiwanja inategemea kiko wapi.kwahyo hapa kama ni bei kubwa kwako tunavyo vingine maeneo mengine 20 kwa 20 bei 4m..siunajua maisha unaishi kulingana na uwezo wako mkuuWizi huu Ina maana 45000*400 sawa na 18,000,000 hicho ni kiwanja Cha 20 kwa 20 wizi wizi wizi wizi wizi huu
Wapi huko kwa sie walala hoi tukanunue?Mkuu bei ya kiwanja inategemea kiko wapi.kwahyo hapa kama ni bei kubwa kwako tunavyo vingine maeneo mengine 20 kwa 20 bei 4m..siunajua maisha unaishi kulingana na uwezo wako mkuu
Viko vikawe mkuu na shamba lina miembe mizuriWapi huko kwa sie walala hoi tukanunue?
Vikawe ndio wapi huko jamani kwa sie wa mbarali hatupajui huko ila tunataka kuhamia mujiniViko vikawe mkuu na shamba lina miembe mizuri
Hahaa sawa mkuu ngoja nikuelekeze, ukitoka bunju ukivuka daraja la mapinga unaingia mkono wako wa kushoto km4 hivi kutoka bagamoyo road hii njia inaelekea kibaha hapo katkt ndio panaitwa vikaweVikawe ndio wapi huko jamani kwa sie wa mbarali hatupajui huko ila tunataka kuhamia mujini
Kuna yule mdau wa 10m, mcheki myajengeWadau nyumba imeshuka bei 16m tu.