Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Kiwanja kinauzwa kipo tegeta nyuma ya ofc za TANESCO
Ukubwa 980 SQM
Bei Tsh. 59m
Kiwanja kina Hati Miliki na kipo eneo zuri na mitaa mizuri.
Mawasiliano zaidi 0756060183

20211101_142138.jpg


20211113_133557.jpg
 
BEACH plot heka 18 Inauzwa ipo bagamoyo Mjini ni pazuri sana kwa kujenga hotel,kiwanda,godaun au nyumba za kupangiaha au kuwekeza biashara yoyote kubwa bei 1m$.

Maongezi zaidi 0756060183

Kwa mahitaji ya kuuza au kununua nyumba,viwanja nk wasiliana nasi kwa no hiyo hapo juu.

IMG-20211118-WA0010.jpg
IMG-20211118-WA0011.jpg
IMG-20211118-WA0007.jpg
IMG-20211118-WA0007.jpg
 
Weka picha ya Kiwanja na Bahari ikionekana,Umbali gani kutoka Bahari?
 
Viwanja vinauzwa Kigamboni Kibada

Mradi huu uko Kigamboni kibada block 19
1km kutoka kwenye lami..mradi umezunguukwa na nyumba za maana kabisa na pameshaendelea huduma za maji na umeme zipo .bei kwa Square meter moja ni Tsh 45,000/=
Bei hii ni pamoja na gharama za hati na mikataba.
Wahi maana mpaka sasa viwanja vimebaki vichache.
Wasiliana nami kwa 0756060183


IMG-20211118-WA0016.jpg
IMG-20211118-WA0016.jpg
IMG-20211118-WA0015.jpg
IMG-20211118-WA0014.jpg
 
Wizi huu Ina maana 45000*400 sawa na 18,000,000 hicho ni kiwanja Cha 20 kwa 20 wizi wizi wizi wizi wizi huu
Mkuu bei ya kiwanja inategemea kiko wapi.kwahyo hapa kama ni bei kubwa kwako tunavyo vingine maeneo mengine 20 kwa 20 bei 4m..siunajua maisha unaishi kulingana na uwezo wako mkuu
 
Vikawe ndio wapi huko jamani kwa sie wa mbarali hatupajui huko ila tunataka kuhamia mujini
Hahaa sawa mkuu ngoja nikuelekeze, ukitoka bunju ukivuka daraja la mapinga unaingia mkono wako wa kushoto km4 hivi kutoka bagamoyo road hii njia inaelekea kibaha hapo katkt ndio panaitwa vikawe
 
Back
Top Bottom