Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaa mkuu na bado hatujamalizia kuweka madirisha na tailsNyumba na mandhar ni nzur ila bei mbaya [emoji2][emoji2][emoji2]
Mia 8 alf unakuta bado fenicha haujaweka
Haha mkuu labda US ya BUZAMil 800?? Hii pesa US unanunua nyumba 3
Bei rahisi kabisa hii mkuuUyo muuzaji ana tumia mjani ?
Pamoja sana mkuu.nakushkruAhsante Kwa taarifa...
Mkuu njoo uone nyumba tumtangazie mwenyewe njaa anaweza kuuzaIkifika 55M nishtue Kiongozi
Nakushukr sana mkuuAhsante Kwa taarifa...
we jamaa uko poa sana, huna stress, na inaelekea kazi unaijua. Angekuwa mwingine angetokwa na povu la sabuni ya jamaa.Mkuu njoo uone nyumba tumtangazie mwenyewe njaa anaweza kuuza
Poa sana mkuu nakushukur kwa maoni haya.we jamaa uko poa sana, huna stress, na inaelekea kazi unaijua. Angekuwa mwingine angetokwa na povu la sabuni ya jamaa.
Ni kweli ingawa na nyumba imeisha kabisa mkuu unahamia tu na unapata uhakika wa kuishi na familyKwa ujumla chenye thamani ni kiwanja hicho nyumba aina dili.....
Kwa ujumla chenye thamani ni kiwanja hicho nyumba aina dili.....
Ngoja aje pengine anaona nyumba hamfai anataka akinunua avunje ajenge ghorofa kama hiliMimi sijakuelewa asee!