Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
Ndio mkuu au kuna changamoto gani umeiona?hizo tarakimu za bei umeziangalia kwanza kabla ya kuandika? pls
Hahaaa mkuu sema me sijafika huko hata akinifunga kamba siwezi kumbishiaKwamba Texas maisha ndiyo marahisi kiasi hicho mkuu? Labda kwenye ranch za Amarillo huko!
Poa mkuuWateja watakuja
Ingia zillow mkuu utaona bei za nyumba kali usd 200,000 mpaka usd 400,000Kwamba Texas maisha ndiyo marahisi kiasi hicho mkuu? Labda kwenye ranch za Amarillo huko!
Kabsa mkuu sijui sie tunakwamia wapidaah watu wana hela
Sio Texas tu, kiujumla hela hio US unapata nyumba nzuri sana maeneo mazuri pia. South Africa ndio balaa kabisa.Kwamba Texas maisha ndiyo marahisi kiasi hicho mkuu? Labda kwenye ranch za Amarillo huko!
Maeneo gani?Na pia ninazo mkuu nauza mpaka 150m maeneo mengine lakn
Kwamba Texas maisha ndiyo marahisi kiasi hicho mkuu? Labda kwenye ranch za Amarillo huko!
Hahaaa mkuu sema me sijafika huko hata akinifunga kamba siwezi kumbishia
Mazuri kama yepi [emoji16][emoji16]Sio Texas tu, kiujumla hela hio US unapata nyumba nzuri sana maeneo mazuri pia. South Africa ndio balaa kabisa.
Hahahaa kusema ukweli $850k ni nyingi mahala popote pale duniani unapata nyumba nzuri na chenji inabaki. Ukienda nchi kama Portugal utashangaa zaidi.Sio Texas tu, kiujumla hela hio US unapata nyumba nzuri sana maeneo mazuri pia. South Africa ndio balaa kabisa.
Google. Nimekuwekea link hapo.Mazuri kama yepi [emoji16][emoji16]
Hizi ziko kwenye miji gani [emoji3][emoji3]
Manvel! Okay!Hahahaa kusema ukweli $850k ni nyingi mahala popote pale duniani unapata nyumba nzuri na chenji inabaki. Ukienda nchi kama Portugal utashangaa zaidi.
Hii hapa ni Texas, USA.
Mji wowote unaotaka wewe US unapata nyumba nzuri kwa hio $850,000 sijui point yako au unachobisha ni nini wakati you can easily 'google' $800,000 house in US na ukapata majibu.Hizi ziko kwenye miji gani [emoji3][emoji3]